23/02/2023
Fomu ya Maombi Kozi za Ufundi Bomba Majumbani, Ufundi Bomba Viwandani na Uchomeleaji kwa Chuo cha VETA Iringa, Singida, Dakawa na Mikumi inapatikana hapa.
FOMU YA MAOMBI
Mafunzo yatafanyika katika vyuo vifuatavyo; Ufundi Bomba wa Majumbani- VETA Singida, VETA Mikumi, VETA Dakawa, VETA Iringa Ufundi Bomba wa Viwandani- VETA Dakawa Uchomeleaji - VETA Singida, VETA Mikumi, VETA Iringa Mwombaji atatakiwa kuwasilisha viambatanisho wakati wa kushiriki mafunzo chuoni: Chet...
23/02/2023
Fomu ya Maombi Kozi za Ufundi Bomba Majumbani, Ufundi Bomba Viwandani na Uchomeleaji kwa Chuo cha VETA Lindi inapatikana hapa.
FOMU YA MAOMBI
Mafunzo yatafanyika katika KOZI zifuatavyo; Ufundi Bomba wa Majumbani Ufundi Bomba wa Viwandani Uchomeleaji Mwombaji atatakiwa kuwasilisha viambatanisho wakati wa kushiriki mafunzo chuoni: Cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha Taifa au kadi ya mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya M...
23/02/2023
Fomu ya Maombi Kozi za Ufundi Bomba Majumbani, Ufundi Bomba Viwandani na Uchomeleaji kwa Chuo cha VETA Manyara inapatikana hapa.
FOMU YA MAOMBI
Mafunzo yatafanyika katika KOZI zifuatavyo; Ufundi Bomba wa Majumbani Ufundi Bomba wa Viwandani Uchomeleaji Mwombaji atatakiwa kuwasilisha viambatanisho wakati wa kushiriki mafunzo chuoni: Cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha Taifa au kadi ya mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya M...
23/02/2023
Fomu ya Maombi Kozi za Ufundi Bomba Majumbani, Ufundi Bomba Viwandani na Uchomeleaji kwa Chuo cha VETA Dodoma inapatikana hapa.
FOMU YA MAOMBI
Mafunzo yatafanyika katika KOZI zifuatavyo; Ufundi Bomba wa Majumbani Ufundi Bomba wa Viwandani Uchomeleaji Mwombaji atatakiwa kuwasilisha viambatanisho wakati wa kushiriki mafunzo chuoni: Cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha Taifa au kadi ya mpiga kura au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya M...
20/02/2023
Pata ujuzi BURE kutoka VETA
20/02/2023
Pata Mafunzo haya BURE Chuoni VETA
17/02/2023
Fursa hiyo kwa Kila Mtanzania
31/08/2022
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Chuo Cha TEHAMA VETA Kipawa kwa kushirikiana na FIC tunatekeleza sehemu ya Mradi wa E4D unaosimamiwa na GIZ na Ofisi ya Waziri Mkuu, tunatoa nafasi za Masomo BURE kwa Kozi ya Umeme wa Majumbani kupitia mfumo wa VSOMO.
Katika kozi hii, Mwanafunzi utasoma masomo ya nadharia kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store, kisha utajiunga na Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa kwa ajili ya Mafunzo ya Vitendo kwa muda wa Wiki Mbili. Mafunzo yataanza kuanzia Tarehe 12/09/2022, Baada ya Kuhitimu, mwanafunzi utakayefaulu utatunukiwa Cheti.
Nafasi zilizopo ni kwa wanafunzi 100 Tu.
Namna ya Kuomba ufadhili huu:
1: Pakua VSOMO App kupitia Google Play store
2: Jisajili kwenye mfumo wa VSOMO
3: Kisha Chagua Ajira Kwa Vijana na ujaze fomu ya maombi!
NB: Wanawake wanahimizwa kuomba nafasi hizi
Mwisho wa kutuma Maombi ni Tarehe 09/09/2022

1: Pakua VSOMO App kupitia Google Play store Link https://bit.ly/3nnYBV6
2: Jisajili kwenye mfumo wa VSOMO
3: Kisha Chagua Ajira Kwa Vijana na ujaze fomu ya maombi!
NB: Wanawake wanahimizwa kuomba nafasi hizi
Mwisho wa kutuma Maombi ni Tarehe 09/09/2022
vsomo veta - Android Apps on Google Play
Enjoy millions of the latest Android apps, games, music, movies, TV, books, magazines & more. Anytime, anywhere, across your devices.
27/08/2018
Mwanafunzi wa PC Maintenance and Networking kupitia VSOMO akifanya mafunzo ya Vitendo katika chuo cha VETA Kipawa. Sasa unaweza kusoma kwa njia ya simu kwa gharama nafuu sana!