23/11/2025
MATOKEO |
FT: Simba SC 0-1 Petro Atletico
Ilikuwa LIVE
The head quarter is at kimara suca, Golan Rd. The head quarter is at Kimara Suca, Golan Rd.
Tanzania entrepreneurship Training centre was registered in 13th feb 2012 as Shagera Entrepreneurship Training Centre and changed the name in 18th June 2012 under the same registration number 234572. opposite Brothers of Charity house, Kinondoni district Dar es salaam Tanzania, East Africa. The main objective was to support the Government effort that ‘by the year2025 Tanzania should have created a
23/11/2025
MATOKEO |
FT: Simba SC 0-1 Petro Atletico
Ilikuwa LIVE
23/11/2025
Kuna habari gani huko, naombeni matokeo jamani😂
12/11/2025
Wanahabari Wote Mnakaribishwa
06/11/2025
06/11/2025
Nabi azungumzia kundi la Yanga CAFCL Soma zaidi hapa
06/11/2025
Mara Baada Ya Kutangaza Rasmi k**a Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametoa orodha ya wachezaji waliochaguliwa kujiunga na kambi ya mazoezi kabla ya mechi ya kirafiki ya FIFA dhidi ya Kuwait itakayochezwa Novemba 14, 2025 nchini Misri.
Kwa November Hii Mashabiki Wamefurahishwa Zaid Mara Baada Ya Kuona Nyota Wapya Kujumuisha Katika Kikosi hicho..
Kikosi Cha Taifa Stars kimejumuisha nyota mpya ikiwemo mshambuliaji Kelvin John ambaye Alikosekana Kwa Muda Kwenye Kikosi Cha Kilichokuwa Chini Ya kocha
kwa sasa Kelvin John anacheza kwenye Timu ya Aalborg BK ya Denmark akitarajiwa kuleta nguvu na ubunifu kwenye mashambulizi ya Taifa Stars November Hii.....
✍️||
_______________________________________________________
Follow Now