Elimu Mobile App

Elimu Mobile App

Share

Download Elimu Mobile App kwenye Google Playstore na iOS App Store ufurahie huduma zetu k**a notes,

09/05/2022

All The Best

19/03/2022
16/02/2022

Kwa pamoja tunaweza kufika mbali kielimu

05/02/2022

Tumia Elimu Mobile App

11/10/2021

Pakua yetu kwenye Google Playstore. Ujipatie materials ya Levels zote

07/08/2021

Aliyetufanya tunafanya mitihani...

13/06/2021

Usisahau kupakua Elimu Mobile App kwenye Google Playstore

11/06/2021

Wakati tukielekea kwenye hatua za kutafuta na kuchagua Kozi na Vyuo Vikuu na Vya Kati. Kuna baadhi ya mambo ambayo tunapaswa kuyazingatia:-

1. Kwa wanaotoka Form 6 sifa ya kujiunga na Degree ni D mbili (isipokuwa baadhi ya kozi maalumu ambazo zinataka 3 principals). Pia k**a umepata Principal moja hutokuwa na sifa ya kujiunga na Degree na badala yake utapaswa either uanze Diploma au urudie mtihani.

2. Kwa wanaotoka Diploma sifa ya kujiunga Degree ni kumaliza Diploma kwa GPA ya 3 au zaidi.

3. Unapochagua kozi basi unatakiwa kuhakikisha kozi hiyo inaendana na Combination yako au Diploma yako. Mfano, hutoruhusiwa kuchagua Civil Engineering k**a umesoma HKL,HGL nk

4. Chagua kozi na chuo kulingana na Marks au Grades zako ili kuendana na ushindani. Mfano k**a una DDF yaani III ya 15 kuna baadhi ya Kozi na Vyuo hushauriwi kuchagua sababu ya ushindani wa hizo kozi na Vyuo husika.

5. Chagua mapema kozi za kusoma ili usije kufanya maamuzi ya haraka na kukurupuka siku ya Application.

6. Tafuta kitabu cha TCU Guidebook 2021 ili kupata list ya Vyuo na Kozi zote.

7. Usisite kutuuliza kwa maoni na ushauri kupitia 0767 050599

8. Download Application yetu kutoka kwenye Google Playstore.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00