Najivunia kuwa Muislam

Najivunia kuwa Muislam

Share

DINI NI KUKUMBUSHANA ( KUNA SIHIANA)

05/04/2026

Fuatilia MASHINDANO YA DUNIA YA QUR AN TUKUFU 2026 , UWANJA WA BENJAMINI WILIAM MKAPA , DAR ES SALAAM, TANZANIA TAREHE 5/04/2026.

Mgeni Rasmini Rais wa ZANZIBAR DR HUSSEIN ALLY MWINYI.

Mgeni Maalum IMAMU WA MSIKITI WA MAKKAH SAUDI ARABIA

https://www.youtube.com/live/OWLY2gBnKO0?si=fySdpUCdpNYDDDpx

Share , Subscribe, Comment.

AL AMEEN TV ...

14/03/2026

Zakatul-Fitr ni zaka inayotolewa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhan kabla ya Swala ya Eid al-Fitr.

1. Lengo la Zakatul-Fitri

Hikma yake

Mtume ﷺ amesema:
عن ابن عباس رضي الله عنهما قال:
فرض رسول الله ﷺ زكاة الفطر طُهرةً للصائم من اللغو والرفث وطُعمةً للمساكين.
رواه أبو داود.

Maana yake:

Mtume ﷺ ameifaradhisha Zakatul-Fitri ili:
Kumsafisha aliyefunga kutokana na makosa madogo aliyoyafanya wakati wa kufunga.

Kuwasaidia maskini ili nao wapate chakula siku ya Idi.

2. Kiwango cha kutoa

Mtume ﷺ amesema:
فرض رسول الله ﷺ زكاة الفطر صاعًا من تمر أو صاعًا من شعير...
رواه البخاري ومسلم

Maana:
Mtume ﷺ amefaradhisha Zakatul-Fitri Saa moja (صاع) ya chakula.

Kiwango chake

1 Saa = takribani kilo 2.5 – 3 za chakula.

Chakula kinachotolewa hutegemea chakula kikuu cha watu wa eneo husika.

Mfano:

Mchele
Ngano
Mahindi
Tende

3. Ni nani anatakiwa kutoa
Zakatul-Fitri

Ni wajibu kwa
Kila Muislamu
Mwenye chakula cha ziada siku ya Idi

Hutolewa kwa ajili ya:

Nafsi yake
Watoto wake
Watu anaowalea

4. Muda wa kutoa
Wakati wa kutoa una ngazi tatu:

1. Wakati bora
Baada ya kuzama jua mwisho wa Mwezi Mtukufu Ramadhan mpaka kabla ya Swala ya Idi

2. Inaruhusiwa mapema

Siku 1 au 2 kabla ya Idi

K**a ilivyofanywa na Maswahaba.

3. Ikiwa atatoa baada ya Swala ya Idi

Mtume ﷺ amesema:
من أداها قبل الصلاة فهي زكاة مقبولة ومن أداها بعد الصلاة فهي صدقة من الصدقات
رواه أبو داود

Maana: Mwenye kutoa
Kabla ya Swala ya Idi itakuwa Zaka sahihi na Mwenye kutoa
Baada ya Swala inakuwa sadaka tu

5. Je inafaa kutoa pesa badala ya chakula?

Wanazuoni wamekhitalifiana:
Rai ya wengi

(Jamhuri ya wanazuoni)

K**a:
Imam Malik
Imam al-Shafi'i
Imam Ahmad ibn Hanbal

Wanasema:

➡️ Inatolewa chakula si pesa kwa sababu hiyo ndiyo aliyofanya Mtume ﷺ.

Rai ya baadhi ya wanazuoni
K**a:

Imam Abu Hanifa
Wanasema:

➡️ Inaruhusiwa kutoa pesa ikiwa ni manufaa zaidi kwa maskini.

Taasisi ya AL AMEEN FOUNDATION - AIF inakusanya na KUGAWA na ZAKKATUL FITRI kwa makundi Maalum.

WASILISHA Zakatul Fitri Yako Kupitia Namba za Simu

+255 715 800 772
+255 657 277 747

Matarajio siku ya KUGAWA ni Siku Moja Kabla ya EID

08/02/2026

Asalaam alaikum

Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani TAASISI YA AL AMEEN FOUNDATION AIF .

Inapenda kukushirikisha wewe Mpenda kheiri katika kuchangia PROGRAM HII MAALUM ya Iftar Kwa Makundi Maalum katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Matarajio kugawa iftar Awamu ya kwanza kabla Mwezi wa Ramadhani.

Vifaa ambavyo Tunavyo hitaji kukusanya

1.Mchele
2.Tambi
3.Unga Ngano
4.Maharage
5.Sukari
6.Mafuta
7.Tende n.k

Tuikimbilie kheiri hii.

Mawasiliano zaidi : 0715 800 772

Al Ameen Foundation - AIF · Dar es Salaam 05/02/2026

ASalaam Alaikum warahamatu Llahi wabarakatu.

Alhamdullilah Ile Shughuli ambayo tulikuwa tukii Tangaza Mwezi sasa Ni Leo

ALHAMIS TAREHE 5/02/206

KUANZIA MAGHRIB - DUA
BAADA YA SWALA ISHA - MAULID BARAZANJI.

LOCATION :
https://maps.app.goo.gl/TnECCdPZHiuFhKqS6

KARIBUNI WAGENI WOTE

Mawasiliano zaidi :
0712 257 492
0713 526 494

MAPACHA WA MTUME

Al Ameen foundation - AIF

Al Ameen Foundation - AIF · Dar es Salaam Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.

02/02/2026

KARIBUNI Saana

13/01/2026
Photos from HabariLeo's post 04/01/2026
Photos from Al Ameen foundation - AIF's post 03/01/2026
22/12/2025

ASALAAM ALAIKUM
CHANGIA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO YATIMA ZAIDI YA 100 KUPITIA AL AMEEN Al Ameen foundation - AIF.

MAWASILIANO ZAIDI

0715 800 772

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kijitonyama Ali Maua
Dar Es Salaam