DrGreyson Babishomba

DrGreyson Babishomba

Share

• Mwanasayansi
• Muasisi: Shirika la Afya Afrika(S.A.A) EXPERT

18/03/2026

Kula chakula ulichojipikia mwenyewe au kupikiwa na mtu unayemuamini ni hatua muhimu ya kulinda afya yako.
Unakuwa na uhakika wa usafi, ubora wa viungo, kiwango cha mafuta, chumvi, na namna chakula kilivyohifadhiwa.
Lakini kula vyakula usivyojua vimepikiwa wapi, hasa vya mitaani, barabarani, au sehemu zisizo na udhibiti mzuri wa usafi
Kunaweza kukuweka kwenye hatari ya:
⚠️ Maambukizi ya bakteria k**a vile kuharisha na sumu ya chakula
⚠️ Mafuta yaliyochomwa mara nyingi (yanayoweza kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo)
⚠️ Usafi duni wa vyombo na mazingira ya kupikia
⚠️ Vyakula vilivyohifadhiwa vibaya au kupashwa moto mara nyingi
Sio kwamba kila chakula cha mama ntilie au hoteli ni kibaya, lakini ni muhimu kuwa makini na unapoamua kula nje:
✔️ Chagua sehemu zilizo safi na zinazoaminika
✔️ Hakikisha chakula kinapikwa vizuri na ni cha moto
✔️ Epuka vyakula vilivyokaa muda mrefu
Tufuate instaghram: &

18/03/2026

Kwanini ukinywa sumu unapewa maziwa… lakini ukinywa baadhi ya dawa unakatazwa kutumia maziwa? 🤔🥛 &

18/03/2026

🥬 Mboga za majani sio chakula cha kawaida…
ni dawa ya mwili wako!
Kula mboga za majani kila siku kunaweza kukusaidia:
☆ Kuimarisha kinga ya mwili
☆ Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
☆ Kupunguza hatari ya magonjwa k**a presha na kisukari
☆ Kulinda afya ya moyo
☆ Kuweka ngozi na mwili wako ukiwa na afya na nguvu

KILA KITU KIKITUMIKA KUPITA KIASI KINAWEZA KULETA MATOKEA HASI
&

18/03/2026

Kula vyakula vinavyotokana na mimea k**a matunda, mboga za majani, nafaka zisizokobolewa n.k kunakupa:
☆ Nguvu ya asili ya mwili
☆ Kinga imara dhidi ya magonjwa
☆ Mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula
☆ Kupunguza hatari ya magonjwa k**a kisukari na presha na kansa
💧 Na usisahau maji!
Kunywa maji ya kutosha husaidia:
✔ Kusafisha mwili
✔ Kuongeza umakini
✔ Kuboresha ngozi yako
✔ Kuweka mwili wako katika hali bora muda wote
KUISHI BILA MAGONJWA NI MAAMUZI YAKO

18/03/2026
17/03/2026

HII NDIO NJIA PEKEE AMBAYO SISI K**A TAIFA NA BARA LA AFRIKA TUKIITUMIA ITATUVUSHA KUTOKA HAPA TULIPO.

17/03/2026

Aloevera ni mmea wenye virutubisho muhimu k**a vitamini A, C, E, na madini yanayosaidia kuboresha afya ya mwili kwa ujumla.
• Huboresha afya ya ngozi – Husaidia kuponya chunusi, kupunguza makunyanzi na kufanya ngozi iwe laini na yenye unyevu

• Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – Husaidia kupunguza matatizo k**a gesi tumboni na kuharisha au kufunga choo

• Huongeza kinga ya mwili – Virutubisho vyake husaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbali

• Husaidia kuponya vidonda – Ina uwezo wa kuharakisha uponaji wa majeraha na hata vidonda vya tumbo

Matumizi ya Aloevera (Shubiri) kupita kiasi au kwa muda mrefu ni hatari kwa Afya yako
UNAWEZA KUTUMIA NUSU GLASI KWA SIKU 7 ASUBUHI NA JIONI KWA MATOKEO BORA ZAIDI AU CHANGANYA NA JUISI NYINGINE YA ASILI
Tufuate instaghram: &

17/03/2026

Bara la Afrika linatumia takriban shilingi 286,000,000,000,000 kwa ajili ya huduma za afya,

kutokana na ongezeko kubwa la wananchi kutokuzingatia elimu na kanuni za afya zinazotolewa kila siku
Tunawahimiza viongozi wa nchi za Afrika kuwachukulia hatua kali wananchi wanaopata magonjwa yanayosababishwa na uzembe

16/03/2026

Hizi hapa,sababu za wanawake kushindwa kufika kileleni...
🗜 &

16/03/2026

Madhara ya kutumia dawa holela ni pamoja na:

• Kuharibika kwa ini na figo kutokana na sumu ya dawa mwilini

• Dozi kuwa kubwa au ndogo kupita kiasi, hivyo dawa kushindwa kufanya kazi au kuleta sumu mwilini

• Usugu wa vimelea dhidi ya dawa (antibiotic resistance) hasa kwa matumizi yasiyo sahihi ya antibayotiki

• Mwingiliano wa dawa mwilini (drug interactions) ambao unaweza kuongeza madhara au kupunguza ufanisi wa dawa

• Kuficha dalili za ugonjwa halisi, jambo linaloweza kuchelewesha utambuzi na matibabu sahihi.

Kumbuka: Dawa ni tiba lakini zikitumika vibaya zinaweza kuwa sumu Ni muhimu kutumia dawa kwa ushauri wa daktari au mtaalamu wa afya ili kulinda afya yako.

16/03/2026

Dawa ya ugonjwa ulioshindikana kupona hospitali.

Kutoka: &

14/03/2026

K**a wewe na huyo mzinzi mwenzio hamjawahi kugombana basi mnakosa uhondo...😁

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam
#KUISHIBILAMAGONJWANIMAAMUZIYAKO