Habari,
Wanahitajika wafanyakazi wa shambani watakaoweza kufanya kazi kwa mkataba. Wawe wanapatikana Dar au mikoa jirani. Kwa wale walioko mikoani wawe tayari kujisafirisha.
Wenye uzoefu wa kilimo cha mahindi watapewa kipaumbele. Piga simu 0715797489 kwa maelekezo zaidi.
Zingatia: Usipige simu k**a hauhitaji kazi hii.
Jifunze Kilimo Tz
Kupitia Jifunze Kilimo Tz utapata mafunzo na ujuzi mbalimbali. Utapewa ushauri, huduma ya mbegu mbalimbali bila kusahau kutembelea shamba lako.
23/01/2025
Unatamani kujifunza kilimo cha muhogo...Mafunzo kuanzia kuandaa shamba hadi kuvuna yakujia kupitia ukurasa huu. Hii hapa chini ni sehemu ya kwanza 👇👇👇
Kilimo cha mihogo sehemu ya kwanza: Kuchagua shamba Wakulima wa mihogo wamekua wakilalamika kuwa hawapati matokeo mazuri kwenye kilimo cha mihogo. Kutokana na sababu hiyo, tumekuandalia mfupulizo wa mafunzo ya...
Habari,
Wanahitaji vijana wawili wa kufanya kazi za shambani kwa mkataba . Itapendeza k**a watakua wanapatikana maeneo ya Pwani/Dar es Salaam. K**a wako mikoani wawe tayari kujisafirisha kwa nauli zao.
Piga simu 0758447040 kwa mawasiliano zaidi.
Habari,
Wanahitaji vijana wawili wa kufanya kazi za shambani . Itapendeza k**a watakua wanapatikana maeneo ya Pwani/Dar es Salaam. K**a wako mikoani wawe tayari kujisafirisha kwa nauli zao.
Piga simu 0758447040/0715797489 kwa mawasiliano zaidi.
Wanahitajika vijana 10 wa kufanya kazi Kariakoo. Wawe wanapatikana maeneo ambayo wataweza kupanda gari moja hadi kariakoo.
Wawe hawajazidi miaka 20 kwa umri. Wanahitajika kabla ya Jumanne tarehe 28/6/2022.
Kwa maelezo zaidi piga simu sasa: 0758447040
Kwa walimu wote Tanzania,
___________________________
Salaam,
Wewe ni mtu muhimu sana katika jamii. Una nguvu kubwa ya kubadili maisha ya watu wengi.
Una nafasi kubwa ya kujikwamua na kuondokana na hali duni licha ya kipato kidogo.
Una uwezo wa kuishangaza dunia na kuwafunga midomo wale wote walioamini kwamba ualimu ni nafasi ya chini na ya kudharauliwa huku wakisahau kuwa wamepita kwenye mikono yako - Mwalimu!
Popote ulipo Tanzania, tumia fursa zilizopo...tumia muda mwingi kutafakari...tenga muda ongea na watu walifanikiwa hata k**a sio walimu. Achana na dhana kuwa, mwalimu ni mtu duni maana hili limekuwa likikwamisha harakati za ukombozi wa mwalimu nchini.
Zinduka ewe mwalimu wa Tanzania, kazisake fursa!
Video nzima ipo YouTube: Andika Katoto Inspirational TZ utaipata yote.
Follow us:
__________________
20/05/2020
It has never been easy to reach our dreams.
This may be the secret: Take up one idea, make that idea your life--think of it, dream of it and live on that idea. Let your brain, muscles, nerves and every part of your body be full of that idea and just leave other ideas alone.
Sir Katoto and Katoto Inspirational is the right place to get all what you want. Visit the links below now. Students in secondary schools, colleges and universities are highly encouraged to activity follow up. Various life touching lessons are coming soon...Please subscribe!
https://www.youtube.com/channel/UCVQm7epq1EdsB2xssprmyGQ
and
https://www.youtube.com/channel/UCzUGXzYC8ZEOsUKXF49Fj1w
Sir Katoto This channel is designed to teach ECONOMICS IGCSE to all students all over the world. Students are encouraged to carefully make a follow up on every lesson t...
06/11/2019
02/11/2019
Fact
25/08/2019
03/08/2019
You will need to move around the world to know how the world moves!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 00:00 - 23:59 |
| Tuesday | 00:00 - 23:59 |
| Wednesday | 00:00 - 23:59 |
| Thursday | 00:00 - 23:59 |
| Friday | 00:00 - 23:59 |
| Saturday | 00:00 - 23:59 |
| Sunday | 00:00 - 23:59 |