05/06/2022
WANA WA Zabuloni Kigoma
Bible
05/06/2022
Habari mwana zabuloni napenda kuchukua fursa hii kukusalimia pia kukujulia hali. Napenda kukuambia k**a una swali au jambo linalokusumbua kuhusu BIBLIA Usisite kuuliza kwa sms au kupiga simu namba 0752234481 na 0674030374 karibu naitwa Mtumishi Emmanuel Matiku
MUNGU ALITUWEKEA KITU CHA AJABU," Hivi k**a ukijua na kujifunza vizuri utaona hakuna haja ya kujivuna. Ulipozaliwa tu. Uliogeshwa kwakua unanuka, ukiwa katika kazi yoyote lazima uoge kwakua utanuka, pia ukiwa unakula chakula kitamu ila baadae ukikitoa hicho chakula tumboni utakifukia kwakua kinanuka. ukiamka asubuhi unawe kinywa uondoe kunuka, ukifariki lazima uogeshwe na kuwekewa manukato kwakua unanuka, ukifa lazima uzikwe kwakua utanuka, je, kwa nini kuwa na nyodo zisizo na maana?. Alasiri njema wana zablon.
Shalom shalom" napenda kukuomba mwana wa ZABLON KIGOMA kwamba rehema za MUNGU ni NGUVU Yetu. Siku njema
2.falme 1:9_13 tuamke na somo hili kwa kukosa ufahamu wanadamu badala ya baraka tunapokea laana hasa kwa kuwakejeli watumishi wa YESU KRISTO maana ya kinywa chako yaweza sababisha kuingia motoni. Unaweza ona uko sahihi kwa lile unalolifanya kwa zarau na kejeli yako haijarishi ni dini tofauti nawe. Awe muislam au mkristo akiwa mtushi wa Mungu mheshimu sana wala usiwe na neno lolote kwake. Soma marko 3:28_30 na marko 3:22_26 MUNGU akusaidie nami pia anisaidie asubuhi njema na kazi njema na MUNGU akubariki sana.
MUNGU Anapenda uthabiti wa moyo sio midomo ya majivuno. K**a fulani alikua mwema na alifanya hivi. Jichunguze una chakumpendeza? kuanzia asubuhi ni wangapi walikuwa wema usoni pa watu na wamelala kwa wafu? Usiku mwema
Ee MUNGU Muumba mbingu na nchi rehema zako ziwe nasi kesho k**a ulivyonionesha kuwa timu yetu ya vijana itapata ushindi wa magori mawili dhidi ya nigeria asante utukumbuke hiyo kesho
17/12/2018
Ee MUNGU Zabuloni nashukuru kwa ajili ya rehema zako dhidi ya wakuu Zabuloni na Nchi yangu pendwa Tanzania.
Ezekiel 37:1- soma Na Tambua Makusudio Ya Mungu Maishani Mwako. Hakuna Ambalo Mungu Anashindwa Fanya Kwako, Anza Siku Kwa Matumaini Na Imani Kuwa Wewe Unaweza Kufanya Lolote Kwakuwa Mungu Wetu Hashindwi Lakini Akili Yako Ndiyo Inaweza Kuwa Mzigo Na Kuona Hauwezi, Asubuhi Njema Kristo Yesu Akukumbuke Kwa Maamuzi Yako.
Mungu Yuko Juu Nasi Duniani, Asante Kwa Siku Mpya
Mapenzi Ya Mungu Ni Makuu Kila Kuitwapo Leo.
07/12/2016
Mungu nakushukuru kwa ajili ya huduma ya Zablon Tanzania
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Kidole Msongola
Dar Es Salaam