16/12/2025
Vikopo vya kugandishia lambalamba vipo
Delivery ipo
Mkoan tunatumia
0718423251 WhatsApp or call
jifunze ujasilisiliamali hapa. jifunze namba ya kutengeneza vitu tofauti ukiwa nyumbani kwako,
darasa mbalimbali karibu WhatsApp 0718423251
16/12/2025
Vikopo vya kugandishia lambalamba vipo
Delivery ipo
Mkoan tunatumia
0718423251 WhatsApp or call
27/08/2025
RED VELVET CAKE
MAHITAJI
Unga 560g
Baking powder kijiko Cha chai 2
Chumvi kijiko Cha chai 2
Cocoa vijiko 4 vya chakula
Sukari nyeupe 500g
Mayai 4
Mafuta mils 350
Vinegar 60mils
Maziwa 240mils
Vanilla vijiko 2 vya chakula
Rangi ya chakula (red) vijiko Cha chai 2
Maziwa ya moto mils 480
Siagi 132g
Chukua UNGA,baking powder, baking soda, cocoa ,sukari Kisha changanya vzr sana
Chukua yai, mafuta maziwa mils 120,vanila, rangi ya gel vinegar weka katika bakuli Kisha koroga vzr sana
Chukua UNGA mix na mchanganyiko wa mayai Kisha koroga mpaka vikae sawa
Chukua sufuria
Weka maziwa ya moto na siagi Kisha bandika jikoni Anza kukoroga taratibu moto mdogo Kisha ipua
Mimina taratibu kwenye bakuli lako la mchanganyiko uku unakoroga taratibu
Chukua tini zako 2 weka mchanganyiko nusu Kwa nusu
Oka
Note
Tin inch 7 au 8 = mbili
Cupcake 48~~ size kubwa
27/08/2025
Habari za leo wapendwa bakers na wafanyabiashara ndogo ndogo👩🏽🍳👨🏽🍳
Nimewamiss sana jamani, kuanzia Leo turudi kwenye recipe zetu k**a kawaida.
Kabla sijapost mapishi mapya, tuambiane tuanze kukumbushiana na recipe gan
Funguka👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
23/06/2025
Sponge cake
UNGA gram 200
Baking powder gram 10
Sukar gram 200
Mayai 8
Vanila vijiko 2 vya chai
Picha chap lete mrejesho Haina mambo mengi
Hope wale walioomba sponge cake wanaona majibu yao
05/06/2025
Dark chocolate
MAHITAJI
Icing sugar vijiko 4
Cocoa vijiko 6
Mafuta ya n**i vijiko 5
Vanila ⅛ ya kijiko
JINSI ya kuandaa n vilevile k**a mwanzo
Saga
Weka kwenye mould
Weka katika friji igande
Toa
Enjoy
Wanaohitaji kuongeza ujuzi vitafunwa
Follow link hyo
https://www.facebook.com/profile.php?id=100065037127782
16/05/2025
*JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA ICE CREAM NYUMBANI KWAKO NA UKAWEZA KUKAA MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA*
MAHITAJI
✔️maziwa ya UNGA gram 100
✔️Baking soda gram 5
✔️Sukar ya UNGA gram 100
✔️Kihifadhio (potassium metabisulfcate) gram 2
✔️Vanila mils 10
JINSI YA KUTENGENEZA
Chukua bakuli kavu weka vitu vikavu vyote then changanya then weka radha changanya pack kwenye kifungashio tayar Kwa matumiz
16/05/2025
VIKOKOTO VYA BIASHARA
MAHITAJI
Unga wa ngano kilo1
Baking powder kijiko 2 Cha chai
Iriki kijiko 2 Cha chai
Siagi au samli kijiko 2 vya chakula
Weka hvyo vyote kwenye bakuli then mix mpaka VICHANGANYIKANE vizuri
Maziwa fresh au n**i nusu Lita
Anza kuweka kidg kidg uku unachanganya vizuril, usiweke mengi mengi UNGA utatepeta so weka kidg kidg uku unakanda mpaka upate donge lisiwe gumu wala jepesi
Then Anza kukata shepu upenazo k**a vigololi pembeni 4 Kwa kusukuma kwenye kibao k**a chapati unenensize nusu inch then katakata na kisu upate shepu
Bandika mafuta jiko kaanga
Then
JINSI ya kutengeneza Shira Kwa ajiri ya VIKOKOTO vyako
Maji mils 500
Sukar gram 400
Iriki kijiko 1
Chukua sufuria weka maji bandika jikoni Kisha weka na sukar iriki uku unakoroga taratibu mpaka sukari iyeyuke iwe nzito na utaona k**a mapovu
Weka VIKOKOTO vyako ukunun geuza geuza (usitumie mwiko Fanya k**a unapeta) mpaka vyote vienee na vianze kukauka
16/05/2025
JINSI ya kutengeneza sabuni ya magadi kiurahisi kabisa
✔️Mafuta Lita 5
✔️Coustic soda ya maji Lita 2.5
✔️Rangi ya mafuta vijiko viwili
✔️Ndoo
✔️Box la kugandishia sabuni
✔️Mwiko au mtu wa kukorogea
JINSI KUANDAA NA KUTENGENEZA
Chukua ndoo weka mafuta Lita 5, then chota mafuta robo weka pembeni
Chukua coustic soda ya maji Lita 2.5 mimina taratibu kwenye ndoo ya maji uku unakoroga upande Mmoja
Koroga mpaka ichanganyike vzr
Kisha chukua box lako la kugandishia sabuni k**a la mbao utaweka nailoni, au k**a silicon utatumia hvyohvyo
Then mimina mchanganyiko wako ndan ya box la kugandishia
Chukua Yale mafuta robo tuliyopunguza mix na rangi vijiko 2 ( rangi utatumia ya blue au kijani) then koroga mpaka ichanganyike vzr kabisa Kisha Anza kumimina kwenye mchanganyiko wako wa kwenye box, taratibu uku unasambaza na kijiti k**a unachora Ili kupata mawingu k**a kwenye picha
Then acha igande masaa 24 au ilale kesho utaitoa ukate vipande size utakayo tyr Kwa matumizi
12/05/2025
Mkate laini
MAHITAJI
Maji au maziwa mils 400
Amira gram 1 na nusu Cha chakula
Sukar kijiko 3 Cha chakula
Mafuta mils 200
Mayai 4
UNGA kilo 1 na robo
Chumvi kijiko Cha chai 2
JINSI YA KUTENGENEZA
Chukua bakuli la plastic au udongo weka maji, Amira, sukari changanya adi ichanganyike vzr
Kisha weka mayai na mafuta changanya vizur Kisha Anza kuweka UNGA uku unakanda
Kanda mpaka utakapoona umechanganyikana vzr Kisha funika uumuke
Kata muundo utakayo
Oka tayar Kwa kulaa
12/05/2025