Hekima Alumni

Hekima Alumni

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hekima Alumni, School, Dar es Salaam.

Photos from Hekima Alumni's post 12/01/2025

HEKIMA UPLAND SCHOOL INAPENDA KUWAKARIBISHA NDUGU WAZAZI NA WANAFUNZI WOTE KWA MHULA WA MASOMO WA MWAKA 2025 UNAO ANZA TAR:13-01-2025 Karibu upate huduma bora ya Elimu kwa wanaojiendeleza, kurudia mitihan na wale ambao hawakupata fursa ya elimu ya sekondari

QT (form 1&2) kwa mwaka mmoja

Form 3&4 (kwa mwaka mmoja)

Form 5&6 (kwa mwaka mmoja)

MICHEPUO: PCB,PCM,CBG,HGE, HGK,HKL,HGE na EGM (kwa A-level) na michepuo yote kwa O-level pamoja na masomo ya sayansi kwa vitendo

vitendo (practicals)

TUPO: BUGURUNI CHAMA MTAA WA CHILE KARIBU NA MSKITI WA ALBAN(Buguruni,Dsm)

PIGA: 0713927003,0689434659

HEKIMA: A BRIDGE TO UNIVERSITYπŸ“šπŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“

12/01/2025
22/08/2024

Welcome to hekima upland school-kinyerezi branch.

18/08/2024

At home

03/02/2022

*Mwl. Moses(Maths&Phy)* kushoto
*Mwl. Hamisi(Civics&Literature)* katikati
*Mwl. Mfikwa(Geography)* kulia.....πŸŽ“

Wanawakaribisha Hekima Upland School kwa elimu bora itakayokuwezesha utimize malengo yako.....!

31/01/2022

Karibu **Hekima Upland School**

30/01/2022

Picha ya pamoja ya Walimu na Wafanyakazi wa Hekima Upland School, hii ni baada ya hafla fupi ya kufungua mwaka mpya wa masomo 2022.

....! (The Dream Team)

25/01/2022

Masomo ya mhula mpya 2022 yanaendelea hapa shuleni..! Karibu Hekima Upland School kwa elimu bora
β–ͺ︎QT(Form 1&2) kwa mwaka mmoja
β–ͺ︎FORM FOUR (Form 3&4) kwa mwaka mmoja
β–ͺ︎FORM SIX(Form 5&6) kwa mwaka mmoja
β–ͺ︎Wanaorudia mitihan ya Taifa
β–ͺ︎Pre-Form Five(Combinations zote)
β–ͺ︎Practicals (Masomo ya vitendo)
Tunapatikana Buguruni, Mtaa wa Chile! Tupigie kwa namba 0689 434656/0713 927003

02/01/2022

Maandalizi ya Muhula mpya wa masomo 2021/2022 yamekamilika tayari kabisa kwa masomo yatakayoanza kesho tarehe 03/01/2022..πŸŽ“πŸŽ“

Mlete mwanao, nduguyo, rafiki na jamaa yako kwa elimu bora itakayofanikisha malengo tarajiwaπŸŽ“

02/01/2022

πŸŽ“πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸŽ“

Chief Coordinator wa HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE iliyopo BUGURUNI, ILALA mkoa wa DAR ES SALAAM anayo furaha kubwa kukutangazia kwamba MHULA MPYA wa masomo kwa QT, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA TANO kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaanza tarehe 03.JANUARY 2022...πŸŽ“πŸ“ŒπŸ“ŒπŸŽ“

Ewe mzazi/ mlezi au mtanzania yeyote yule, mlete mwanao, ndugu yako, ama rafiki yako HEKIMA UPLAND apate Elimu Bora na atimize ndoto zake na malengo yake katika elimu. Hakika uongozi na walimu wa HEKIMA UPLAND tunajituma na kujitoa ili kuhakikisha yeyote anayekanyaga ardhi ya HEKIMA UPLAND anafanikisha malengo yake na kutimiza ndoto zake.πŸŽ“

HEKIMA UPLAND ni shule HURIA inayotoa mafunzo kwa mtindo wa QT(FORM ONE NA FORM TWO KWA MWAKA MMOJA), FORM THREE NA FORM FOUR KWA MWAKA MMOJA na FORM FIVE NA FORM SIX kwa mwaka mmoja...πŸŽ“

Kumbuka HEKIMA UPLAND ina walimu makini, imara, wazoefu, wabobezi na wazalendo kwa mwanafunzi wao na Taifa lao kwa ujumlaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

HEKIMA UPLAND inapokea na kufundisha watu wa umri wowote ambao waliishia Elimu ya Msingi na kushindwa kuendelea na masomo ya sekondari na pia tunapokea wale waliofeli masomo ya sekondari na kushindwa kuendelea mbele. πŸŽ“

Pia tunatoa TUITION ( LIKIZO TIME) kwa wanafunzi walio mashuleni kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kuanzia mwezi wa Desemba-January na June-July kwa kidato cha kwanza hadi cha sita.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

HEKIMA UPLAND ina michepuo ya ART, SCIENCE (PRACTICALS) na BIASHARA kwa O-LEVEL. Na kwa upande wa A-LEVEL kuna ART na BIASHARA(HKL, HGK, HGL, HGE, EGM ) pamoja na SCIENCE(PCB, PCM na CBG)πŸŽ“

Tunaomba sana njoo haraka ukamilishe usajili kwani umeshaanza tayari.Tunashukuru kwa ushirikiano na kuwa sehemu ya NGUZO KUU YA UBORA WA HEKIMA UPLAND.....πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

NB: KUMBUKA KUKUHUDUMIA KWA UBORA WA HALI YA VIWANGO VYA JUU, NDIYO FAHARI YETU.

K**A MOTTO WA HEKIMA UNAVYOLALAMA KWAMBA(Hekima; The Home of Acedemic Excellence) na (Hekima; A Bridge to University).

KWA MAWASILIANO PIGA *0689 434659*, *0768 343631* na *0713 927003*

*πŸ™πŸ½KARIBUNI SANAπŸ™πŸ½*

Photos from Hekima Alumni's post 15/01/2021

Huu ni ukumbi wa kujisomea(Private Studies), mara nyingi hutumika na wanafunzi kwa ajili ya discussion na kujisomea,lakini pia School Assembly, Hafla mbalimbali za shule nk.

Ulipewa jina la Ujamaa Hall mwaka 2019 baada ya maombi ya wanafunzi waliokuwa kidato cha sita mwaka huo,wakiongozwa na Zohary Kinyele, Charles Mabele, Ayoub Uchele nk.

Karibu Hekima Upland kwa Elimu Bora ya Kidato cha 1-2(Mwaka mmoja), Kidato cha 3-4(Mwaka mmoja) na Kidato cha 5-6(Mwaka mmoja)...! Na kwa wale wanaorudia mitihani ya kidato cha nne pamoja na Pre Form One.

Muhula wa masomo 2020/2021 umeanza sambamba na usajili wa mitihani ya kidato cha nne na QT umeanza. KARIBU SANA
0713927003, 0754 483226

08/10/2020

Chief Coordinator wa HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE iliyopo BUGURUNI, ILALA mkoa wa DAR ES SALAAM anayo furaha kubwa kukutangazia kwamba MHULA MPYA wa masomo kwa QT na KIDATO CHA NNE kwa mwaka 2020/2021 unaanza tarehe 12.OCTOBER 2020....πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

Pia, HEKIMA UPLAND TRAINING CENTRE inakutangazia masomo ya PRE FORM ONE kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza darasa la Saba ili kuwaandaa kwa masomo ya KIDATO CHA KWANZA 2021. Masomo hayo ya PRE FORM ONE yataanza tarehe 12/10/2020 mpaka tarehe 12/01/2021 kwa gharama nafuu pamoja na ofa mbalimbali ambazo ni Madaftari Bure, Kalamu Bure, T-Shirt Bure na Begi Bure kwa wanafunzi wote.

Ewe mzazi/ mlezi au mtanzania yeyote yule, mlete mwanao, ndugu yako, ama rafiki yako HEKIMA UPLAND apate Elimu Bora na atimize ndoto zake na malengo yake katika elimu. Hakika uongozi na walimu wa HEKIMA UPLAND tunajituma na kujitoa ili kuhakikisha yeyote anayekanyaga ardhi ya HEKIMA UPLAND anafanikisha malengo yake na kutimiza ndoto zake.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

HEKIMA UPLAND ni shule HURIA inayotoa mafunzo kwa mtindo wa QT(FORM ONE NA FORM TWO KWA MWAKA MMOJA), FORM THREE NA FORM FOUR KWA MWAKA MMOJA na FORM FIVE NA FORM SIX kwa mwaka mmoja...

Kumbuka HEKIMA UPLAND ina walimu makini, imara, wazoefu, wabobezi na wazalendo kwa mwanafunzi wao na Taifa lao kwa ujumlaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

HEKIMA UPLAND inapokea na kufundisha watu wa umri wowote ambao waliishia Elimu ya Msingi na kushindwa kuendelea na masomo ya sekondari na pia tunapokea wale waliofeli masomo ya sekondari na kushindwa kuendelea mbele.

Pia tunatoa TUITION ( LIKIZO TIME) kwa wanafunzi walio mashuleni kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kuanzia mwezi wa Desemba-January na June-July kwa kidato cha kwanza hadi cha sita.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

HEKIMA UPLAND ina michepuo ya ART, SCIENCE (PRACTICALS) na BIASHARA kwa O-LEVEL. Na kwa upande wa A-LEVEL kuna ART na BIASHARA(HKL, HGK, HGL, HGE, EGM ) pamoja na SCIENCE(mchepuo wa CBG)πŸ“Œ

Tunaomba sana njoo haraka ukamilishe usajili kwani umeshaanza tayari.Tunashukuru kwa ushirikiano na kuwa sehemu ya NGUZO KUU YA UBORA WA HEKIMA UPLAND.....πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

NB: KUMBUKA KUKUHUDUMIA KWA UBORA WA HALI YA VIWANGO VYA JUU, NDIYO FAHARI YETU. K**A MOTTO WA HEKIMA UNAVYOLALAMA KWAMBA(Hekima; The Home of Acedemic Excellence) na (Hekima; A Bridge to University).
KWA MAWASILIANO PIGA 0754 483226, 0713 927003 na 0710 969832 KARIBU SANA.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam