E&D Vision Publishing Ltd

E&D Vision Publishing Ltd

Share

Development Publisher. Home of Quality Books.Publish Pree School Books, Text Book,Children Books,English Books,Kiswahili Books,Tertiary Books,Trade Book

Home of Quality Books.Publish Pree School Books, Text Book,Children Books,English Books,Kiswahili Books,Tertiary Books,Information Books,References Books and Trade Book.

31/03/2026

Trumark Trumark Bookshop -Kimara Stop Over

31/03/2026

Watu wa Kimara Mwisho mpaka Chalinze shuka Stop Over tu nenda Trumark Vitabu vyetu vinapatikana hapo.

24/12/2025

The Climate Crisis Get Your Copy Now

Photos from E&D Vision Publishing Ltd's post 25/11/2025

In 32 International Book Fair 2025

Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Palamagamba Kabudi, amepongeza kampuni ya E & D Vision Publishing baada ya kutembelea banda lao katika Maonesho ya 32 ya Kitaifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Maktaba Kuu, Dar es Salaam.

Akizungumza mara baada ya Waziri Kabudi kutembelea banda hilo, Meneja wa E & D Vision Publishing, Tumsifu Usiri, amesema maarifa ni nguzo muhimu katika kumjenga mtu anayejiamini na anayejitambua.

Meneja huyo ameyasema hayo Novemba 21, 2025, wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ambayo yamefunguliwa rasmi na Waziri Kabudi.

Amesema kampuni hiyo ipo makini kuhakikisha vitabu wanavyozalisha vinawafikia Watanzania wa makundi yote. 

Amesema ushiriki wao katika maonesho hayo ni fursa muhimu ya kukutana na wadau mbalimbali wa sekta ya vitabu nchini.

Amefafanua kuwa E & D Vision Publishing inachapisha vitabu kuanzia ngazi ya awali, msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. 

Pia huchapisha vitabu vya maarifa mbalimbali, ikiwemo kitabu kinachohusu Mlima Kilimanjaro pamoja na vitabu vya watu mashuhuri serikalini wakiwemo Juma Mwapachu, Barnaba Samatta, Richard Mabala na wengineo.

Aidha, kampuni hiyo inachapisha vitabu vya nukta nundu (Braille) kwa ajili ya watu wenye uoni hafifu na wasioona kabisa, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha kila mtu anafikiwa na huduma ya maarifa bila vikwazo.

Amesisitiza, “Maarifa yatokanayo na usomaji wa vitabu ni chakula cha nafsi. Vitabu ni tiba muhimu ya afya ya akili. Maarifa yanaunda jamii yenye nidhamu na mwanga wa fikra.” 25/11/2025

Maonyesho Ya Vitabu

Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar Na Lucy Ngowi DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Palamagamba Kabudi, amepongeza kampuni ya E & D Vision Publishing baada ya kutembelea banda lao katika Maonesho ya 32 ya Kitaifa ya Vitabu Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Maktaba Kuu, Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya Waziri Kabudi kutembelea banda hilo, Meneja wa E & D Vision Publishing, Tumsifu Usiri, amesema maarifa ni nguzo muhimu katika kumjenga mtu anayejiamini na anayejitambua. Meneja huyo ameyasema hayo Novemba 21, 2025, wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ambayo yamefunguliwa rasmi na Waziri Kabudi. Amesema kampuni hiyo ipo makini kuhakikisha vitabu wanavyozalisha vinawafikia Watanzania wa makundi yote. Amesema ushiriki wao katika maonesho hayo ni fursa muhimu ya kukutana na wadau mbalimbali wa sekta ya vitabu nchini. Amefafanua kuwa E & D Vision Publishing inachapisha vitabu kuanzia ngazi ya awali, msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. Pia huchapisha vitabu vya maarifa mbalimbali, ikiwemo kitabu kinachohusu Mlima Kilimanjaro pamoja na vitabu vya watu mashuhuri serikalini wakiwemo Juma Mwapachu, Barnaba Samatta, Richard Mabala na wengineo. Aidha, kampuni hiyo inachapisha vitabu vya nukta nundu (Braille) kwa ajili ya watu wenye uoni hafifu na wasioona kabisa, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha kila mtu anafikiwa na huduma ya maarifa bila vikwazo. Amesisitiza, “Maarifa yatokanayo na usomaji wa vitabu ni chakula cha nafsi. Vitabu ni tiba muhimu ya afya ya akili. Maarifa yanaunda jamii yenye nidhamu na mwanga wa fikra.”

19/11/2025
18/11/2025

Tutashiriki

29/09/2025

This book: Africa from Past to Present: Reflections on the Plight of Africa from Pre-colonial Days to Today speaks to Africans and people of African descent. Black people all over the world, throughout their lives and in whatever they do, must always be aware of the watch words best expressed in Kiswahili as: Tulivyokuwa!
Tulivyoangamizwa! Tunavyowajibika! (How we were! How we were destroyed! What we must do!) No other race of human beings has ever been subjected to oppression, iniquity and dehumanization by fellow human beings so thoroughly, overwhelmingly and for so long like Black people. The writings in this collection are the Author’s small contribution to that awareness. This is a must read.

Soft Cover 20,000/=
Hard Cover 50,000/=

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Olga House Kijitonyama
Dar Es Salaam
4460

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00