New Samora driving School

New Samora driving School

Share

Tunatoa Mafunzo ya udereva tupo samora house pamoja na mkaa wa kariakoo karibuni kwa udereva mahiri.0754425435/9715

09/01/2022

Read to drive

09/01/2022

Done

09/01/2022
05/02/2021

Tumetimiza wajibu wetu done!

30/09/2020

Akimalizia week ya mwisho kabisa karibuni mpate kilicho Bora kabisa Samora Driving school.

17/09/2020

Dereva akiwa katika mazoezi yake ya mwisho mwisho
New Samora Ni chuo Bora Cha kujifunxa udereva njoo Sasa uwe dereva mwenye Elimu , cheti na leseni

12/09/2020

Baadae ya wanafunzi kupata Elimu Bora na wakaona umuhimu wait waliamua kutuletea keki shuleni Basi tukafurahia na kufanya mahafali ndogo karibu New samora ufurahie mafunzo ya udereva

12/09/2020

Dereva kamili Ni yule kwenye mafunzo,cheti pamoja na leseni

12/09/2020

Karibu New Samora Driving kwa Udereva mahiri Mara tu umalizapo mafunzo utakabidhiwa cheti chako.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Samora House Stesheni
Dar Es Salaam