Umoja Wa Walimu Wa Somo La Kiswahili Tanzania - UWASOKITA

Umoja Wa Walimu Wa Somo La Kiswahili Tanzania - UWASOKITA

Share

Ukurasa huu ni maalumu kwa walimu wa somo la kiswahili nchini Tanzania, karibu sana k**a wewe ni mdau.

Kulingana na kasi ya ukuaji wa lugha ya Kiswahili,kuna kila sababu ya walimu wa somo hili kujiunga pamoja na kutengeneza timu itakayowezesha kukutana na kutatua changamoto zinazowakabili katika ufundishaji wa somo hili.

12/04/2026

Kuingia fungua kiunganishi hapa chini na fuata hatua zifuatazo:
1. Kiunganishi >>>>> https://www.academixpoint.com/p/premium-library.html?m=1
2. Bofya *Sign in*
3. Bofya *Sign in with google*
4. Chagua baruapepe *itakayoletwa*
5. Ukishaingia fungua *Browse Library*
6. Chagua kidato husika

06/04/2026

Celebrating my 10th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

06/04/2026

Kuingia fungua kiunganishi hapa chini na fuata hatua zifuatazo:
1. Kiunganishi >>>>> https://www.academixpoint.com/p/premium-library.html?m=1
2. Bofya *Sign in*
3. Bofya *Sign in with google*
4. Chagua baruapepe *itakayoletwa*
5. Ukishaingia fungua *Browse Library*
6. Chagua Primary kisha Kiswahili

01/02/2026

I've just reached 4K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗🎉

23/11/2025

*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU*

*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU: MTAZAMO WA KIFALSAFA KUHUSU UHAI NA KUWEPO*

*Utangulizi*
Dhana ya ontolojia ya kibantu ilifafanuliwa sana na mwanafalsafa Placide Temples aliyesema kuwa dunia ya Kibantu inaeleweka vyema kwa kuona kwamba kila kitu kina nguvu ya uhai winayounganisha ulimwengu.

Ontolojia ni tawi la falsafa linaloshughulikia asili ya uhai, uhalisia, na kile kinachoitwa “kuwa”. Katika mazingira ya Kiafrika, hususan kwa jamii za lugha ya Kibantu, ontolojia imejengeka katika mitazamo, tamaduni, mila na matumizi ya lugha. Nadharia ya Ontolojia ya Kibantu ni mfumo wa kifalsafa unaojaribu kuelewa namna jamii hizi zinavyouona ulimwengu, uhusiano wa binadamu na mazingira, nafasi ya mizimu, na chanzo cha uhai.

Tofauti na falsafa za Magharibi ambazo mara nyingi huweka mkazo kwenye mtu binafsi k**a kitovu cha fikra, Ontolojia ya Kibantu huona kuwa uhai ni wa kijamii, kiroho, kimazingira, na kinahusisha mtiririko wa nguvu unaounganisha kila kitu.

Kusoma zaidi nadharia hii ni nyingine nenda EducentreApp
Ipakue hapa >>>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.boom.edu

Ukishapakua Educentre App ifungue kisha chagua *Continue with Google* halafu chagua email yako itakayoletwa kiotomatiki na uendelee kufuata maelekezo mpaka mwisho.

*Ukishaingia ndani ya EducentreApp*
1. Fungua 👉 Tertiary
2. Fungua 👉 OUT
3. Fungua 👉 OSW
4. Fungua 👉 OSW 133
5. Hapo chagua NOTES

17/11/2025
25/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Emilly Kwinyara, Raila Ramadhani

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam