WestEvan College of Business, Health and Allied Sciences

WestEvan College of Business, Health and Allied Sciences

Share

West Evan College of Business and Allied Sciences

Photos from WestEvan College of Business, Health and Allied Sciences's post 09/02/2026

Chuo cha West Evan College of Business Health and Allied Sciences,Tunakaribisha maombi ya kujiunga kwa waliomaliza Form 4 au Form 6 na wanaoupgrade. Jiunge nasi kwa muhula wa MARCH-2026 kusoma Diploma kwa kozi zifuatazo:
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐀𝐂𝐂𝐎𝐔𝐍𝐓𝐀𝐍𝐂𝐘(Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐁𝐔𝐒𝐈𝐍𝐄𝐒𝐒 𝐀𝐃𝐌𝐈𝐍𝐈𝐒𝐓𝐑𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐏𝐑𝐎𝐂𝐔𝐑𝐄𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐌𝐀𝐍𝐀𝐆𝐄𝐌𝐄𝐍𝐓 (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐒𝐎𝐂𝐈𝐀𝐋 𝐖𝐎𝐑𝐊 (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
Tuna historia nzuri sana ya ufaulu, walimu waliobobea na hostel bora zinapatikana chuoni bure. Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu 4 kwa mwaka na kwa kozi zenye mikopo tunawasaidia kupata mikopo hiyo kutoka serikalini.
Chuo kipo Dar es salaam-Kigamboni-Cheka.
TUMA TAARIFA ZAKO HAPA TUWEZE KUWASILIANA NAWE: http://westevan.safitech.co.tz

08/02/2026

Chuo cha West Evan College of Business Health and Allied Sciences,Tunakaribisha maombi ya kujiunga kwa waliomaliza Form 4 au Form 6 na wanaoupgrade. Jiunge nasi kwa muhula wa MARCH-2026 kusoma Diploma kwa kozi zifuatazo:
 DIPLOMA IN ACCOUNTANCY (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
 DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
 DIPLOMA IN PROCUREMENT MANAGEMENT (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
 DIPLOMA IN SOCIAL WORK (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).

Tuna historia nzuri sana ya ufaulu, walimu waliobobea na hostel bora zinapatikana chuoni bure. Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu 4 kwa mwaka na kwa kozi zenye mikopo tunawasaidia kupata mikopo hiyo kutoka serikalini.
Chuo kipo Dar es salaam-Kigamboni-Cheka.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Kimbiji Kijaka, Kigamboni
Dar Es Salaam