05/06/2026
📢 NAFASI ZA KAZI THE AMAZON COLLEGE (T)
🎓 The Amazon College (T) Limited inakaribisha maombi ya nafasi ya College Principal kwa kampasi zake za Arusha na Mwanza.
Ikiwa una shahada katika elimu au taaluma inayohusiana nayo, una uwezo wa kusimamia shughuli za chuo kwa ufanisi, pamoja na kuwa mbunifu na mwenye ari ya maendeleo, hii ni fursa yako ya kujiunga na taasisi inayolenga kutoa elimu bora.
✅ Kipaumbele kitatolewa kwa waombaji wanaoishi Arusha na Mwanza.
📩 Tuma CV yako kupitia: 📱 WhatsApp: 071 517 0754 📧 [email protected]
⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 15 Juni 2026
01/06/2026
JUMATATU NYINGINE TULIVU NA MWEZI MPYA WA 6
Leo tujikumbushe kitu hapa Wapendwa 😊
Ni vitu gani huwa unazingatia kabla ya kumpamba Mteja wako?
Course ya Hair Dressing and Beauty Style inatolewa kwenye Campus zetu za The Amazon College kwa bei rahisi kabisa.
_____________________________________________________
OUR CAMPUSES 🌐
➡️MBEZI LUIS - (0676866833)
➡️TEGETA KIBAONI - (0657373732)
➡️UKONGA BANANA - (0719707798)
➡️MBAGALA RANGI TATU - (0675388185)
➡️MAKUMBUSHO STENDI - (0719925164)
➡️KIBAHA MAILI MOJA - (0719925163)
➡️MBEYA - (0713715989)
➡️ARUSHA - (0692252512)
➡️MWANZA - (0692252381)
➡️KIBAHA - (0719925163)
➡️MLANDIZI - (0719925165)
Au piga simu kupitia -:
CALL/WHATSAPP 0715170154
27/05/2026
Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa The Amazon College tunawatakia Eid Al Adha njema kwa Waislam Wote.
26/05/2026
THE AMAZON COLLEGES NDANI YA MWANZA 🔥
Kozi zitolewazo ndani ya Campus yetu
👉 Driving Course
👉 Computer Course
👉 English Course
Tupo eneo la Stendi ya Mabasi ya Nyamhongolo, Wasiliana nasi-: 0692 252 381 / 0610 163 116
22/05/2026
🎓 THE AMAZON COLLEGE – DODOMA 🎓
Je, unatafuta chuo bora cha ufundi stadi kinachotoa mafunzo yanayoendana na soko la ajira?
THE AMAZON COLLEGE KAMPASI YA DODOMA ndiyo chaguo sahihi kwako!
Chuo kimesajiliwa na NACTVET kwa namba: REG/NACTVET/1353 na kinatoa mafunzo bora yenye kuzingatia ujuzi wa vitendo pamoja na maandalizi ya ajira.
📚 Kozi zinazotolewa ni pamoja na:
✅ Computer Application Courses
✅ Kiingereza cha Kuongea na Kuandika
✅ Hotel Management and Services Operation
✅ Tourism Management and Tour Guide
✅ Hairdressing and Beauty
✅ Mafunzo ya Udereva (Basic Driving Course)
🌍 Chuo kinapatikana katika mikoa ya: Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, Arusha na Mwanza.
💼 Tunawaunganisha wahitimu wetu na fursa za ajira.
📍 Dodoma – Barabara ya Majengo, jirani na Msikiti, ghorofa ya nne.
📞 Wasiliana nasi:
0610 163 114 / 0692 252 480
22/05/2026
Ijumaa Njema 🌙
__________________________________________________
OUR CAMPUSES 🌐
➡️MBEZI LUIS - (0676866833)
➡️TEGETA KIBAONI - (0657373732)
➡️UKONGA BANANA - (0719707798)
➡️MBAGALA RANGI TATU - (0675388185)
➡️MAKUMBUSHO STENDI - (0719925164)
➡️KIBAHA MAILI MOJA - (0719925163)
➡️MBEYA - (0713715989)
➡️ARUSHA - (0692252512)
➡️ DODOMA - (0610163114)
➡️KIBAHA - (0719925163)
➡️MLANDIZI - (0719925165)
Au piga simu kupitia -:
CALL/WHATSAPP 0715170154