DAMUSSA

DAMUSSA

Share

DAR ES SALAAM MUSLIM STUDENTS OF SECONDARY SCHOOL ASSOCIATION (DAMUSSA)
JUMUIYA YA WANAFUNZI WA

Fomu ya Semina na Kambi 19/11/2025

𝗦𝗘𝗠𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Dar es Salaam (DAMUSSA), imeandaa 𝗦𝗲𝗺𝗶𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗯𝗶 ya 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗸𝘂𝗺𝗶 (𝟭𝟬) kwa wanafunzi wa Kiislamu wa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam.

🏡 Semina itafanyika:
IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL, Kigamboni.

⏰ Tarehe:
Kuanzia 18/12/2025 hadi 27/12/2025.

🎯 Lengo:
Kuwajenga wanafunzi Kimaadili na Kitaaluma.

📚 Mambo watakayofundishwa.
1. Mbinu za kujisomea
2. Kuwa na heshima
3. Kufanya usafi binafsi na wa mazingira
4. Adabu za Kiislamu
5. Mafunzo ya swala kwa vitendo
6. Kuishi kwa malengo
7. Teknolojia na Uislamu (Artificial Intelligence, Internet, Computers)
8. Namna ya kutumia muda vizuri
9. Kuchangamkia fursa, ubunifu na kujiajiri
10. Adhkari za kila siku n.k

💰 Gharama ya ushiriki:
Shilingi Elfu Arobaini (40,000/=) Tu. Gharama inajumuisha;
- Usafiri
- Chakula
- Cheti cha ushiriki
- Dharura za kiafya
- Vitabu mbalimbali
- Stationery

📡 Kufanya maombi ya kushiriki:
Bonyeza link kujaza fomu kuomba ushiriki online: 👇

https://semina.damussa.org

📝Fomu ijazwe kwa usahihi. Na ilipiwe mara baada ya kuwa imejazwa.

💸 Tuma pesa ya ushiriki kwa namba ya simu 0659319215 (Mixx by Yas),
jina litatokea Mansury Pazi. Baada ya kufanya malipo, tuma ujumbe mfupi wenye jina la mshiriki kwenda kwenye namba hiyo.

Mwisho wa kujaza fomu hii ni 13/12/2025. Wahi sasa kabla ya nafasi kujaa.

☎️ Kwa mawasiliano zaidi
Salum Fumo 0786749426
Abubakari Mpini 0712792246
Madam Sabrina 0717554576

Tafadhali sambaza ujumbe huu uwafikie na wengine.

Ahsante.

Mwl Kalunga Matovolwa.
Mratibu wa Programu.
0715001818

Fomu ya Semina na Kambi Bonyeza link hii kujisajili/kumsajili kijana wako kwenye semina na kambi ya DAMUSSA-2025

12/06/2025
06/03/2025

Salamu za kipekee kwa mashabiki bora wageni! Yusuph Duta

Tafadhali subiri 05/12/2024

𝗦𝗘𝗠𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Dar es Salaam (DAMUSSA), imeandaa 𝗦𝗲𝗺𝗶𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗯𝗶 ya 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗸𝘂𝗺𝗶 (𝟭𝟬) kwa wanafunzi wa Kiislamu wa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam.

🏡 Semina itafanyika:
IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL, Kigamboni.

⏰ Muda:
Kuanzia 15/12/2024 hadi 25/12/2024.

🎯 Lengo:
Kuwajenga wanafunzi Kimaadili na Kitaaluma.

📚 Mambo watakayofundishwa.
1. Mbinu za kujisomea
- Kusolve Past Papers
- Kutumia Syllabus
- Kutumia New Examination Format
- Kutumia Vitabu vya TET
- Kutumia Ripoti za Necta (CIRA)
2. Kuwaheshimu wazazi wawili
3. Usafi binafsi
4. Adabu za kula
5. Mafunzo ya swala kwa vitendo
6. Kuishi kwa malengo
7. Kuchangamkia fursa
8. Umoja na ushirikiano n.k

💰 Gharama ya ushiriki:
Shilingi elfu thelathini (30,000/=) Tu. Mshiriki atapata
- Huduma ya malazi
- Chakula
- Huduma ya afya (pindi akiumwa)
- Usafiri
- Vitabu mbalimbali
- Cheti cha ushiriki

📡 Kufanya maombi ya kushiriki:
Bonyeza link kujaza fomu kuomba ushiriki online: 👇

https://forms.gle/UKSu7T2AMRUEHU389

Mwisho wa kujaza fomu hii ni 13/12/2024. Wahi sasa kabla ya nafasi kujaa.

☎ Kwa mawasiliano zaidi
Abubakari Mpini +255712792246
Salum Fumo +255786749426

Ahsante.

Tafadhali subiri

Tafadhali subiri 17/11/2024

Mwisho wa kujaza fomu hii ni 10/12/2024. Wahi sasa kabla ya nafasi kujaa.

☎ Kwa mawasiliano zaidi
Abubakari Mpini +255712792246
Salum Fumo +255786749426

Ahsante.

Tafadhali subiri

01/11/2024

SEMINA NA KAMBI 2024 INAKARIBIA

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam
90329