Matabula Love Consultant Tanzania

Matabula Love Consultant Tanzania

Share

Tunajishughulisha na utoaji wa huduma ya ushauri juu ya masuala ya mahusiano.(Mapenzi). Katika jamii ya sasa mapenzi yamepelekea watu wengi kukosa amani.

29/12/2023

Ukimuona mwenzako anafurahia kutokuwepo kwako ni dalili za Usaliti. jichunguze

07/09/2023
28/04/2017

MAPENZI ni huruma, MAPENZI ni Kujali, MAPENZI ni kujitoa muhanga kwa ajili ya upendo.

Photos from Matabula Love Consultant Tanzania's post 19/12/2016

Was so amazing event. Made presentation on Mummy's day Out at Mbezi beach DSM.
For you love Consultant needs pls call 0652600700.

16/12/2016

​KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA K**A UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI​

​1. Tamaa ya utajiri​
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjin.

​2. Dharau,​
maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.

​3. Husali​
hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae k**a mtumba wa uvira. MWENYEZI MUNGU ndo anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja k**a MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.

​4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu k**a changudoa​
Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa k**a mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao?

​5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni k**a mwali wa kibembe​
au kizaramo kwanza mnatutisha tu.

​6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,​
yani ukiguswa kidogo tu twende.

​7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook,​ Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,

​8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook​ na kadhalika
nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.

​9. Ni mtu wa maneno maneno​
yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?

​10. Huna mawazo ya malengo​
endelevu yani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu sijui leo Wema Sepetu amefanya nini? Sijui Kim, Lupita amefanya vile na upuuzi mwingine.

​11 Mizinga.​
Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri mara ooh baby yaani njaa inauma'' , utasindikiza harusi za wenzio hadi upigwe alama..

Waswahili husema, "K**a mzuri, Olewa"

Jihadhari na tabia hizi.
_Maneno makali ila ujumbe umefika.

14/04/2016

MAMBO AMBAYO HUPASWI KUMFANYIA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI

1. Usimuumize moyo wake
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
4. Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
5. Usimchukulie kirahisirahisi (Never take her love for granted)
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake k**a hauna mpango wa kumuoa, unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni, huo ni ujuha.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, k**a huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa matokeo ya kufanya ngono.

Sometimes sisi wanaume ni pasua kichwa vilevile, unakuta tunapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potential, mwanamke ambae hakodoi macho pochi yako, ila masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila siku na kujilaumu kwanini alikupenda.

Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.

Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shik**ana.
Na k**a humpendi usimtongoze!

08/03/2016

Happy Women's day.Matabula love Consultant tunawatakia kila la kheri na mapenzi moto moto kwa wenzi wenu. Hakuna k**a mama katika dunia hii. Tunawapenda sana kina mama wote.

31/01/2016

Salaam marafiki wa Matabula Love Consultant. Leo ni weekend je ni wangapi mmeweza kutoka na familia zao? je umetoka na mchepuko wakati mke kabaki nyumbani? je ni kweli weeekend ya leo umepumzika na mumeo /mkeo nyumbani? Mapenzi ni matamu na yenye rahaaa sana. mpende mkeo kipenzi na mpende mumeo kipenzi. One loveeeeeeee. Weeekend njema

30/01/2016

Salaam marafiki wa Matabula love consultant,sasa ofisi yetu imeboresha huduma zake,na sasa tunaanza kutoa huduma za mafunzo kwa wachumba wanaotarijia kuoana, moja ya sababu nyingi zinazopelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi ni ufahamu finyu wa elimu ya mahusiano, Hakika Matabula love consultant tumejipanga vyema kuokoa kizazi hiki cha watanzania.Kwa mawasiliano zaidi ni 0763261711
karibuni sana.

29/12/2015

Hakikisha hauwi chanzo cha mpenzi wako kuumia bali siku zote hakikisha wewe ndio unakuwa sababu ya furaha yake.
Matabula2015

25/12/2015

mambo? ni wangapi wamewatakia wawapendao heri ya sikukuu? hebu mwambie mpenzi wako nakupenda nakutakia sikukuu njema.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam
BOX15993DSM