12/11/2019
Jifunze Uislamu
Jifunze mambo mbali mbali yanayohusu dini ya Kiislamu. Jifunze kusoma Quran,Wafahamu wanazuoni wa kiislamu na mchango wao katika dini kupitia ukurasa huu.
Ukurasa huu ni maalumu kwa wale wenye nia ya kujifunza Uislamu. Kupitia ukurasa huu utapata darsa mbalimbali za Uislamu na hasa Masomo ya Quran bila malipo yoyote. Masomo tunayapandisha kwenye Youtube Channel yetu ambayo inapatikana kupitia https://www.youtube.com/channel/UCSo9tkcRw8deS7LmrKc2Amg
Maswali na maoni yanakaribishwa. Tuandikie meseji kupitia ukurasa huu au piga simu namba +255 625 528326 kwa maelezo zaidi.
12/11/2019
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 19
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 19 - (Darsa ya 9/2) Mwendelezo wa kanuni za sifa na msifiwa. Pia utajifunza kuhusu ISMUN MAWSUULUN (Jina ya kuunganishia) ambalo kwa leo utajifunza neno ALLADHII na ALLATII. Ing...
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 18
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 18 - (Darsa ya 9/1) Katika somo hili utajifunza kanuni za kusifia ambazo ni NAATU (Sifa) NA MAN-UUT(Msifiwa) Ingia katika somo upate kunufaika.
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 17
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 17 - (Darsa ya 8) Darsa hii ni mwendelezo wa DHAALIKA NA TILKA. Katika darsa hili tutaona mifano mbalimbali juu ya amtumizi ya DHAALIKA na TILKA. Pia tutaona mifano mbalimbali...
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 16
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 16 - (Darsa ya 7) Katika darsa ya saba tutaona mwendelezo wa matumizi ya HAADHIHI. Pia utajifunza kuhusu kiashiria cha kitu au mtu aliyekuwa mbali (TILKA). Neno hili TILKA ni ...
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 15
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 15 - (Darsa ya 6) Katika darsa hii utajifunza 1} Matumizi ya matamko HAADHA (kiashiria cha mwanaume au kitu chenye asili ya kiume) na HAADHIHI ambayo ni kiashiria cha mwanamke...
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 14
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 14 - (Darsa ya 5/Hitimisho) Katika somo hili mwalimu anahitimisha darsa ya 5 kwa kutoa baadhi ya mifano inayoendana na darsa hizo. Pia ametoa nasaha juu ya umuhimu wa kujifunza lugha ya...
28/08/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 13
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 13 - (Darsa ya 5/3) Huu ni mwendelezo wa darsa ya 5 ambapo leo tutaendelea na zoezi namba 7. Pia utajifunza kuhusu HAMZATUL WASL(Alif ya kuunganishia). Pia utafahamu kwa uchache...
29/06/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 12
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 12 - (Darsa ya 5/2) Sehemu hii ya 12 ni mwendelezo wa darsa ya 5 ambapo katika somo hili tutafanya mazoezo mbalimbali ya somo la 5 ambalo utalipata katika sehemu ya 11 Ingia kwe...
29/06/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 11
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 11 - (Darsa ya 5/1) Katika somo hili utajifunza kuhusu kanuni za MUDHWAAFUN na MUDHWAAFUN ILAYH. Ingia kwenye somo upate kunufaika.
29/06/2018
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 10
Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 10 - (Darsa ya 4/2) Huu ni mwendelezo wa herufi za JARRI ambazo tumeanza nazo katika sehemy ya 9. Katika somo hili utajifunza herufi MIN na ILAA Ingia kwenye somo upate kunufaika.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam