Ujumbe wa Sheikh Kaporo
Quran Umaif
U.M.A.I.F. (Ummul Muuminiina Aisha Foundation) Ni kituo kinachofundisha masomo ya dini ya kiislamu (madrasa) na mazingira kwa kina mama watu wazima na watoto
ASALAM ALYKUM WARAHMATULLAH
Kwa mara ya 14 mfululizo tangu mnamo mwaka 2013 UMAIF imekuwa ikikuletea *Mashindano Makubwa ya Quran Tukufu kwa Wanawake Watu Wazima Kitaifa*
Mashindano haya kwa mwaka huu yatafanyika;
TAREHE 21.06.2026
SIKU YA J'PILI
UKUMBI DYCCC CHANG'OMBE
SAA 12:00 ASUBUHI MILANGO ITAKUWA WAZI.
HAKUNA KIINGILIO NI BUURE
"WAALIKWA NI WANAWAKE TU"
*"QURAN NI UPENDO"*
"UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEIELIMISHA JAMII"
RAIS WA TUZO YA KIMATAIFA YA QURAN TUKUFU TZ *SHK OTHMAN ALI KAPORO* & M/KITI WA AISHA SURURU FOUNDATION (ASF) *BI AISHA SURURU*
Wanakualika ewe mdau wa Qur’an, Taasisi, Kampuni n.k kusapoti Mashindano Makubwa ya Quran Tukufu kwa Wanawake Watu Wazima Kitaifa msimu wa 14 yanayoandaliwa na UMMUL MUUMINIINA AISHA FOUNDATION yatakayofanyika Tar 21.06.2026 J'PILI Ukumbi DYCCC CHANG'OMBE Saa 1:00 hadi 7: Mchana chini ya Mratibu wake mkuu
.tz .hmwinyi
Hizi ndio sababu za kubadilisha baadhi ya Kanuni za mashindano katika mashindano ya Qur'an kwa wanawake watu wazima wa mara ya kwanza taasisi ya inaenda kuweka historia Tanzania kuanzisha Mashindano Makubwa ya Quran Tukufu Juzuu 30 na Tafsiri tena kwa Kinamama. Tukutane mchujo wa pili Tar 24 May 2026 na kilele cha Mashindano haya ni Tarehe 21, June, 2026 InShaaAllah. Milango ya udhamini ipo wazi wasiliana na Mratibu 0710 773 390
Ostaadh Mohammed Samata akitoa utaratibu
Mshiriki wa Mashindano ya Qur'an ya wanawake watu wazima Juzuu 20 mwaka 2026 akiwa katika mchujo wa kwanza
Kwa mara ya kwanza taasisi ya inaenda kuweka historia Tanzania kuanzisha Mashindano Makubwa ya Quran Tukufu Juzuu 30 na Tafsiri tena kwa Kinamama. Tukutane mchujo wa pili Tar 24 May 2026 na kilele cha Mashindano haya ni Tarehe 21, June, 2026 InShaaAllah.
.niffer._
07/05/2026
*ASALAM ALYKUM WARAHMATULLAH*
*MCHUJO WA KWANZA*
ZIMEBAKI SIKU 3 TU
*"Jambo Limekuwa Jambo"* ni J'pili hii Tar 10.05.2026, saa 1:00 Asbh ktk Viwanja vya UMAIF BUGURUNI MAKUKULA siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wetu mbalimbali wa Qur’an.
UNAWEZA KUCHANGIA KILA IJUMAA KIASI CHA 1,000 AU ZAIDI ILI KUFANIKISHA MASHINDANO YA 14 YA QURAN TUKUFU KWA WANAWAKE WATU WAZIMA KITAIFA - TANZANIA 🇹🇿
NAMBA YA KUCHANGIA
0679 422 342 YAS
0758 422 342 M-PESA
JINA: UMMUL-MUUMINIINA AISHA FOUNDATION
Mubaarak
Share Status
🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷
Kaa tayari jambo kubwa linakuja InShaaAllah.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
Buguruni Kisiwani
Dar Es Salaam