Sagacity DayCare and Nursery

Sagacity DayCare and Nursery

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sagacity DayCare and Nursery, School, MBAGALA KIZUIANI, Dar es Salaam.

10/01/2015

Bado tunapokea watoto wa miaka 2 mpaka 6. Ada zetu ni nafuu sana na tunamlea mtoto kuanzia asubuhi mpaka saa 11 jioni.
Tupo Mbagala Kizuiani.
Mawasiliano; 0786-697939 au 0762-040957
Karibuni sana; EDUCATION FOR BRIGHT FUTURE.

20/11/2014

Tumeanza kuandikisha watoto kwa mwaka wa masomo 2015.
Piga 0762 040 957 au 0786 697 939 kwa mawsiliano zaidi.

Photos 06/11/2014

Tunamshukuru MUNGU hatua ya awali imekamilika. Sasa shule imeshapata kibali cha serikali. Mchakato wa kuisajili unaendelea. Karibuni sana Sagacity.

01/11/2014

Maandalizi ya ufunguzi wa shule yanaendelea. Kaeni tayari kwa mkao kuwaleta watoto wetu wapate elimu iliyo bora na imara.

Photos 26/10/2014

Warmly Welcome SAGACITY DAY CARE AND NURSERY ENGLISH MEDIUM

26/10/2014

Tunawakaribish kuchukua form za kujiunga na msimu mpya wa masomo 2015.
Fomu zinapatikana shuleni kwa sh. 5,000/=
Tunapoke watoto kuanzia miaka 2 mpaka miaka 5.

mawasiliano yetu ni 0786 697 939 na 0762 040 957 au e-mail [email protected]

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


MBAGALA KIZUIANI
Dar Es Salaam
BOX72130