Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

Share

Ni JIFUNZE KISWAHILI pekee unapoweza kukutana na maarifa yaliyoshiba kuhusu lugha ya Kiswahili.

12/04/2026

Kuingia fungua kiunganishi hapa chini na fuata hatua zifuatazo:
1. Kiunganishi >>>>> https://www.academixpoint.com/p/premium-library.html?m=1
2. Bofya *Sign in*
3. Bofya *Sign in with google*
4. Chagua baruapepe *itakayoletwa*
5. Ukishaingia fungua *Browse Library*
6. Chagua kidato husika

06/04/2026

Kuingia fungua kiunganishi hapa chini na fuata hatua zifuatazo:
1. Kiunganishi >>>>> https://www.academixpoint.com/p/premium-library.html?m=1
2. Bofya *Sign in*
3. Bofya *Sign in with google*
4. Chagua baruapepe *itakayoletwa*
5. Ukishaingia fungua *Browse Library*
6. Chagua Primary kisha Kiswahili

15/03/2026

Mawasiliano: 0717104507

11/01/2026

*MAANDALIZI KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA 6 2026*

*SOMO: KISWAHILI*

Nimekuandalia programu kabambe ya maandalizi yatakayokuwezesha kujiandaa kwa mtihani wa kidato cha sita.

Usomaji ni kwa mtandao (Google meet), tutapitia maswali mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi 👉👉👉 https://chat.whatsapp.com/DjAL46NBvEN4CMHZQsqVma

Karibu sana.
Kipindi kila siku Jumapili saa 10-12 jioni.

Gharama za bando ni Tsh 1,000 kwa kila kipindi.

LIPA KWA LIPA NAMBA 👉 19263505 (Yas)

11/01/2026

*MAANDALIZI KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA 6 2026*

*SOMO: KISWAHILI*

Nimekuandalia programu kabambe ya maandalizi yatakayokuwezesha kujiandaa kwa mtihani wa kidato cha sita.

Usomaji ni kwa mtandao (Google meet), tutapitia maswali mbalimbali.

Kwa maelezo zaidi 👉👉👉 https://chat.whatsapp.com/DjAL46NBvEN4CMHZQsqVma

Karibu sana.
Kipindi kila siku Jumapili saa 10-12 jioni.

Gharama za bando ni Tsh 1,000 kwa kila kipindi.

31/12/2025
30/11/2025

I got 2 reactions on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

Educentre App sasa ni mkombozi wako wa kweli. Sasa unapata nukuu za Fasihi ya Kiswahili kidato cha 5 zenye ubora usiomithilika.

Ingia kupitia kiunganishi hiki >>>>>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.boom.edu

Ukishaingia fuata hatua hizi:
1. Ingia kwenye App yako
2. Fungua A-Level
3. Vuta kuelekea kushoto kuona orodha ya masomo
4. Fungua namba 15 katika orodha (Fasihi ya Kiswahili)
5. Fungua Form V
6. Fungua Notes

MADA ZILIZOKAMILIKA NI:
1. Dhana na chimbuko la fasihi
2. Fasihi simulizi na fasihi andishi

TANBIHI:

Zingatia maelekezo hayo kabla ya kujiunga.

Mawasiliano:
0717104507

23/11/2025

*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU*

*NADHARIA YA ONTOLOJIA YA KIBANTU: MTAZAMO WA KIFALSAFA KUHUSU UHAI NA KUWEPO*

*Utangulizi*
Dhana ya ontolojia ya kibantu ilifafanuliwa sana na mwanafalsafa Placide Temples aliyesema kuwa dunia ya Kibantu inaeleweka vyema kwa kuona kwamba kila kitu kina nguvu ya uhai winayounganisha ulimwengu.

Ontolojia ni tawi la falsafa linaloshughulikia asili ya uhai, uhalisia, na kile kinachoitwa “kuwa”. Katika mazingira ya Kiafrika, hususan kwa jamii za lugha ya Kibantu, ontolojia imejengeka katika mitazamo, tamaduni, mila na matumizi ya lugha. Nadharia ya Ontolojia ya Kibantu ni mfumo wa kifalsafa unaojaribu kuelewa namna jamii hizi zinavyouona ulimwengu, uhusiano wa binadamu na mazingira, nafasi ya mizimu, na chanzo cha uhai.

Tofauti na falsafa za Magharibi ambazo mara nyingi huweka mkazo kwenye mtu binafsi k**a kitovu cha fikra, Ontolojia ya Kibantu huona kuwa uhai ni wa kijamii, kiroho, kimazingira, na kinahusisha mtiririko wa nguvu unaounganisha kila kitu.

Kusoma zaidi nadharia hii ni nyingine nenda EducentreApp
Ipakue hapa >>>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.boom.edu

Ukishapakua Educentre App ifungue kisha chagua *Continue with Google* halafu chagua email yako itakayoletwa kiotomatiki na uendelee kufuata maelekezo mpaka mwisho.

*Ukishaingia ndani ya EducentreApp*
1. Fungua 👉 Tertiary
2. Fungua 👉 OUT
3. Fungua 👉 OSW
4. Fungua 👉 OSW 133
5. Hapo chagua NOTES

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam
35091