Al-Madrasat Tarbiyyah Tul-Islaamiyya

Al-Madrasat Tarbiyyah Tul-Islaamiyya

Share

Hiki ni kituo cha malezi ya uislamu kinachojihusisha na ufundishaji wa maarifa ya dini ya uislamu (Ma

01/03/2026

MASHINDANI YA QUR'AN {MBIF}

Assalaam Alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh!

Mwinyi Baraka Islamic Foundation {MBIF} inapenda kukuletea mwaliko wa Mashindano ya Qur'an tukufu kwa njia ya Taj-weed. Yatakayofanyika:

Mchujo; Tarehe 08/03/2026 saa 10:00 Asubuhi. Masjid Salami, Kijitonyama, Akachube Road Dar Es Salaam.

Finali: Tarehe 16/03/2026 01:00 Baada ya Adhuhuri.
Masjid Kijitonyama, Akachube Road Dar Es Salaam.

Share Taarifa Hii Kwa Kila Mtu 🙏🏾

18/02/2026

Mwenyezi Mungu ﷻ aifanye Ramadhan hii ya mwaka huu 2026 iwe ni sehemu ya kubadili maisha yetu, kutoka katika hali ya kujingikiwa na kugubikwa na Dunia badala yake tuwe ni miongoni mwa wenye kuwa na hamu ya kuipupia Akhera na kujikita kwemye vyanzo vyake.

25/11/2025

Ustadh M***a Qassim anatualika katika Shughuli yake ya maonesho ya vijana wake huko MIDIZINI inshaAllaah tumuitikie. 🙏🏽

25/11/2025

Imam Juma Farijala anatualika katika Shughuli yake ya kusherehekea Mazazi ya Bwana Mtume ﷺ huko kwake Mkolemba, Ukonga. Tumuitike Mzee wetu InshaAllaah.

Kwa Mawasiliano zaidi:
+255 623 733 335

12/10/2025

Ni siku ya Ijumaa 17.10.2025.
Karibuni nyote tumcheze Mtume.

04/03/2025
Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00