07/06/2026
AFYA YAKO, MAISHA YAKO
Afya njema huanza na maamuzi sahihi ya kila siku. Kula lishe bora, fanya mazoezi mara kwa mara, kunywa maji ya kutosha, lala vya kutosha, na zingatia usafi binafsi ili kujikinga dhidi ya magonjwa.
MKOMBOZI HEALTH CENTER tupo kwa ajili ya afya yako na familia yako. Fanya uchunguzi wa afya mara kwa mara na chukua hatua mapema kwa maisha yenye afya na furaha.
📞 +255748366447
"Kinga ni bora kuliko tiba."
05/06/2026