Welcome to Christ
TAFES - ARDHI University
TAFES is an acronym that stands for Tanzania Fellowship of Evangelical Students. It is a national and Interdenominational Christian organization ministry.
join our whatsapp channel
https://whatsapp.com/channel/0029VaKPj638PgsIGtV7S515
17/06/2024
SHALOM SHALOM SHALOM family of love
Tunapenda kumshukuru Mungu kwaliyotenda katika maisha yetu haikuwa rahisi ni Kwa neema tu naamini Kila mmoja wetu ana kitu Cha kumwambia Mungu.Kwa neema ya Mungu prayer department Mungu ametuwezesha kuandaa fastingprayer kwa siku 4. Tunamshukuru Mungu kwa kibali hichi naomba tuende mbele za Mungu kwa shukrani ni siku chache sana na kwa mengi ambayΓ³ Mungu amefanya hata hizi siku haziwezi kutosha kumshukuru Mungu katika maombi haya tutaenda kumshukuru Mungu kwaajili ya 1. LPU s11
2. Kwa semester nzima na huduma zilizofanyika kipindi hichi chote hapa TAFES
3. Kumuomba Mungu katika maandalizi ya mitihani yetu na huduma zote zilizo mbele yetu k**a mission 2025
Tunaomba sana usipange kukosa ni mfungo wa ajabu uliobeba mengi katika shukrani zetu.Usije kwaajili ya kiongozi tamani kusema na Mungu
16 Tena mfungapo, msiwe k**a wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga...mathayo6:16-17
Kuna vitu vinahitaji kufunga na kuombaπππ
15/06/2024
πππππππππππ
* IS PERFECT UNITY*
*THANKS GIVING SERVICE*
β¨Let us come before him with the heart of thanksgiving..
βͺ ROOM 29
π 08:00am
with your special offering π #
DO NOT PLAN TO MISS
14/06/2024
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ shalom shalom shalom wapendwa katika kristo Yesu. Leo ndo ile siku ya kuchagua mkoa jamani wa umisheni nawaomba tuwepo ibadani siku ya leo mjulishe na mwenzioππ...,.........hii sio ya kukosa wapendwa usisahau pia kuomba neema ya roho mtakatifu iwe na wewe katika uchaguzi huo. Amen mbarikiwe nyoteππ
11/06/2024
πππππππππππ
Tuesday service
*BENEFITS OF THE KINGDOM*
β¨And in the days of those kings the God of heaven will set up a kingdom that shall never be destroyed, nor shall the kingdom be left to another people. It shall break in pieces all these kingdoms and bring them to an end, and it shall stand forever.
βͺ ROOM 14
π 19:50-20:50PM
with a notebookπ #
DO NOT PLAN TO MISS
10/06/2024
K**a miziki ilisikika sanaa,,Basi team nzima ya mziki ilikua ndo hii
10/06/2024
10/06/2024
Wasaa wa neno ulifika na tukapokea kutoka kwa Mungu kupitia mtumishi wake
Mungu akubariki sana
10/06/2024
Umekuwa Baraka sana kwa team nzima...hakika Mungu hawezi kukuacha
blessed
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
ARDHI UNIVERSITY
Dar Es Salaam
35176