Tanzania yetu

Tanzania yetu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania yetu, Education, Kinondoni mkwajuni, Dar es Salaam.

12/05/2024
30/06/2020

Jambo lolote linalokutia huzuni, Stres,Unyonge,ina maanisha ilo jambo ni kubwa kuliko mtazamo wako.
Lakini Ukibadili Mtazamo wako kuwa mkubwa kuliko ilo jambo hilo linalokukabili..Utaona kiwepesi kabisa unaweza kulitatua
Utakuta Mtu anasema mahusiano yamenishinda,Biashara zimenishinda,masomo yamenishinda wengine mpaka wanadiriki kusema ndoa imewashinda
Ndugu:Tambua kwamba binaadam ni mkubwa sana kushindwa na vitu vidogovidogo Hivyo basi Usithubutu kusema kabisa "NIMESHINDWA" Kikubwa ni Kumtanguliza mungu huku ukipambana

09/11/2019

Ukiachana na kigezo cha umri hivi ni kitu gani kitakufanya utoke kwenu ukaanza kujitegemea?

21/09/2019

Hivi kuna haja ya kutumia lugha moja kwenye elimu Yetu?

Photos from Tanzania yetu's post 04/09/2019

Tulaani vikali vitendo vinavylfanyika
Afrika Kusini

14/08/2019

Sambaza upendo
Kuwa mzalendo

Photos 07/10/2017
Photos 07/10/2017

USIAMINI S*X KULIKO LOVE ITAKULA KWAKO

Nani aliyekwambia k**a s*x ndo love? S*x ni zawadi tyu kwa lovers tena wanandoa eti utamkuta msichana anasema k**a unanipenda kwel nataka ulale na mimi ha ha ha ha nani aliyekwambia k**a s*x ndo love! Na hii si kwa wasichana tyu hata wavulana pia hudai hii kitu Jamani s*x ni kitendo cha mda mfupi tyu alafu tena basi ila upendo unaendelea k**a s*x ndo love hebu jiulize hapo ulipo ushas*x na watu wangapi na umeshaachana nao? Funguza mbali iyo takataka inayo amini s*x kuliko love na k**a upo katika mahusiano na mtu k**a huyo nakushauri achana naye kwan hana upendo na wewe. Mtu anayekupenda atakusikiliza na kukuheshimu na kukujali Watu wengi hujikuta wakipata maumivu katik**ahusiano yao.Mtu akikutenda ikiwa hajakutumia maumivu hupungua ila k**a amekutumia alafu akakutenda lazima utaumia mtu mwenye upendo wa kwel hawezi kukuumiza na k**a atakukosea lazima atakuomba msamaha. Hivi kitu ambacho mungu amekiita uzinifu kinageukaje kuwa ni upendo ?

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Kinondoni Mkwajuni
Dar Es Salaam