Wanafunzi wa Yesu

Wanafunzi wa Yesu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wanafunzi wa Yesu, School, Dar es Salaam.

Tupo ili kuwafunza watu wote kuwa wafuasi wa Yesu Kristo waliojitolea ambao wanamjua Yesu kwa undani, wanahudumiana, na kuushuhudia ulimwengu Injili - Mt. 28:18-19

02/04/2026

Jinsi ya Kupata Muda wa Kutosha wa Kusoma Maandiko!

10/02/2026

Ole wako wewe, ikiwa watu wakiangalia maneno na matendo yako, unawapa sababu ya kumzungumzia vibaya Kristo au Kanisa lake

07/02/2026

Mpendwa,
Jitahidi kutunza nguvu na uwepo wa Mungu ndani yako hata muda Bwana atakapotaka uzitumie.

Punguza na kwepa mazingira ambayo yatanyonya nguvu hizo pasipo faida ya Ufalme wa Mungu.

05/02/2026

Mwombe Mungu akupe roho ya kukataa masumbufu ya dunia ili ufalme wake na mapenzi yake yawe kipaumbele kwako
Lk. 21:34-35

30/01/2026

Je, ni jambo gani baya ambalo ulikuja gundua kuwa Mungu alikuepusha nalo haswa pale ambapo mipango iliyokuwa imesukwa juu yako hapo mwanzo ulikuwa huitambui?

29/01/2026
06/12/2025

Ukikosa msaada wa Mungu kukufunulia mbinu za adui yako kukudhuru - ili ujilinde, hakika madhara yatakupata.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam