Karibu NOFO LIMITED! Kampuni bora na pendwa kwa miradi halali ya viwanja Tanzania ๐น๐ฟ
๐ฅ Tunakuletea MRADI MOTOMOTO uitwao MZENGA "B" HIGHLIFE uliopo jirani kabisa na Mlandizi!
๐ SIFA ZA MRADI WETU: โ
Viwanja vyetu vimepimwa na vina bikoni za halmashauri na mwisho wa malipo utapata HATI KUBWA! โ
Huduma zote muhimu zipo! Shule ๐ซ, maji ๐ฐ, hospitali ๐ฅ na umeme โก โ
Eneo lipo tambarare, linapendeza na limepangwa kisasa kwa makazi ya ndoto zako ๐กโจ
๐ฐ BEI YA VIWANJA: ๐ Sqm 400 kwa Tsh 1,000,000 tu! ๐ค Lipa CASH au kwa AWAMU hadi miezi 3!
๐ OFISI ZETU: Tunapatikana Sinza A, mkabala na Mlimani City โ Karibu ujionee mwenyewe!
๐ RATIBA YA KWENDA SAITI: Huwa tunatembelea saiti kwa usafiri bora kabisa ambao ni full AC. Ndani ya usafiri utapata muziki mzuri, maji, juisi na biskuti! ๐โจ
Siku za kwenda saiti ni tatu; โถ๏ธ Jumanne โฐ 2:30 Asubuhi! โถ๏ธ Alhamisi โฐ 2:30 Asubuhi! โถ๏ธ Jumamosi โฐ 2:30 Asubuhi!
โก๏ธ Safari huanzia ofisini kwetu Sinza A โ mkabala na Mlimani City!
โจ Usikubali hadithi zisizo na kichwa wala miguu โ chukua kiwanja chako leo kutoka NOFO LIMITED na uanze kujenga maisha ya ndoto zako ๐ก๐
๐ฒ Piga simu sasa Twende Saiti!
OwnAPlot MaishaBora
Nofo limited
Wauzaji wa viwanja na mashamba
Tunapatikana Sinza A mkabala na Mlimani City
Wasiliana nasi
โ๏ธ 0749 676 618
07/05/2026
Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
Sinza
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 20:00 |
| Tuesday | 07:00 - 20:00 |
| Wednesday | 07:00 - 20:00 |
| Thursday | 07:00 - 20:00 |
| Friday | 07:00 - 20:00 |
| Saturday | 07:00 - 20:00 |
| Sunday | 07:00 - 20:00 |