04/08/2015
Eabmti inawaletea mfululizo mwingine wa vipindi vya midahalo ya kisiasa kupitia kampeni yake mpya ya " MY VOTE MY COUNTRY" kura yangu nchi yangu. kaa tayari kwa ujio mpya, kwa habari na maelezo like na kushare ukurasa huu.
https://www.facebook.com/Eabmtz
01/08/2015
Mdahalo kat ya Ukawa na CCM ambapo kila upande ulionyesha ni kiasi gani wako makini na uwajibikaji kwa wananchi, waongeaji wakuu walikuwa Mh. Tundu Lissu (Chadema),Mh. Steven Wassira(CCM) na Profesa Ibrahim Lipumba ( CUF).
Mdahalo huu uliandaliwa chini ya " The Tanzania we want" inayoratibiwa na Eabmti na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange, chini ni baadhi ya picha na matukio ndani ya mdahalo huo, kwa maelezo zaidi na majibu na sera za waongeaji wakuu tembelea blogu yako ya www.bizztokk.blogspot.com au Youtube : eabmti.
kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu
01/08/2015
Mdahalo wa katiba
kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu
01/08/2015
Eabmti moja kati ya shughuli zetu ni kuandaa na kusimamia midahalo ya kusisimua na yenye kutoa jakamoyo za wananchi kuhusu masuala ya kisiasa,kielimu na kijamii pia kupitia kipengele cha "Tanzania we want" ( Tanzania tunayoitaka) chini ya Rosemary Mwakitwange.
01/08/2015
Mdahalo wa uchaguzi mdogo Igunga
kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu
01/08/2015
Mdahalo kuhusu itikadi za vyama hapa nchini ulioletwa na Eabmti na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange
01/08/2015
Mdahalo uuzwaji wa UDA uliofanyika mwaka 2011
kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu
01/08/2015
mdahalo wa CUF mwaka 2010 wakipata nafasi ya kumnadi na kujibu maswali ya wananchi kupitia mgombea wao Prof. Ibrahim Lipumba
01/08/2015
Mdahalo wa wagombea vijana mwaka 2010
kwa habari na maelezo zaidi kuhusu ratiba za midahalo na shughuli za Eabmti tafadhali like na kushare ukurasa huu.
01/08/2015
Mdahalo uliofanyika mwaka 2010,chini ya "The Tanzania we want" Tanzania tunayoitaka, Mgombea tiketi ya Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo alipata nafasi ya kujieleza na kuulizwa maswali na wananchi,Mdahalo huu uliandaliwa na EABMTI chini ya Brand yake " The Tanzania we want " na kusimamiwa na Rosemary Mwakitwange.
Kwa habari na maelezo zaidi kuhusu midahalo na shughuli za Eabmti like page yetu, tovuti: www.eabmti.co.tz twitter eabmti_tanzania, Youtube:Eabmti.