Ni mwaka huu 2024 Tunajenga Shule wilaya ya kisalawe Mkoa wa Pwani
Verena Nursery & Primary Day & Boarding English Medium
shule ipo Gongolomboto - Mwisho wa Lami-tunapokea watoto kuanzia miaka mitatu kwa chekechea na darasa la kwanza adi la saba nafasi ya bweni ipo
The best kind school ,when you look at his teaching methodology, School motto; PEACE, JUSTICE, FREEDOM. $ LOVE experienced among our Students.
29/12/2017
02/10/2017
HALO!! Karibuni kwa Mara nyingine tena wanafamilia was mbinga bado tunazidi kuwakaribisha katika shule yetu. Mlete mwanao apate elimu bora kutoka kwetu. Kwa mawasiliano piga 0719143068 karibuni sana tunapokea watoto kuanzia miaka mitatu ma wrote wanaohamia karibuni
29/09/2017
HII NDIO mbinga nursery and primary English.. Iko gongo la mboto... Tunapokea watoto wote we ye miaka mitatu na wrote wanaohamia karibuni sana
PRE-FORM ONE PREPARATION
MBINGA TUITION CENTER ( ZAMANI VERENA NURSERY AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL )
INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA KUWA TUTAKUWA NA PROGRAMME ZA PRE FORM ONE
KWA MASOMO YA SEKONDARI
MAFUNZO HAYA YATAANZA TAREHE 11 SIKU YA JUMATATU YA MWEZI WA TISA.
TUATAFUNDISHA MASOMO SITA
*ENGLISH
*MATHEMATICS
*PHYSICS
*CHEMISTRY
*BIOLOGY
*GEOGRAPHY
KARIBUNI SANA PIA TUTATOA SEMINA JUU YA KUJITAMBUA KWA KIJANA
KARIBUNI SANA MPATE KILE KINACHOSTAHILI
PRE-FORM ONE PREPARATION
MBINGA TUITION CENTER ( ZAMANI VERENA NURSERY AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL )
INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA KUWA TUTAKUWA NA PROGRAMME ZA PRE FORM ONE
KWA MASOMO YA SEKONDARI
MAFUNZO HAYA YATAANZA TAREHE 11 SIKU YA JUMATATU YA MWEZI WA TISA.
TUATAFUNDISHA MASOMO SITA
*ENGLISH
*MATHEMATICS
*PHYSICS
*CHEMISTRY
*BIOLOGY
*GEOGRAPHY
KARIBUNI SANA PIA TUTATOA SEMINA JUU YA KUJITAMBUA KWA KIJANA
KARIBUNI SANA MPATE KILE KINACHOSTAHILI
24/02/2017
Karibu Mbinga nursery and primary English medium school kwa Elimu bora kwa mtoto wako. Tunapokea
Watoto wenye umri kuanzia mwaka 3 nakuendelea... Karibuni Sana mliowengi waleteni watoto wapate Elimu bora..
24/02/2017
10/01/2017
Karibuni Mbinga nursery and primary English medium school kwa Elimu bora na so bora elimu kwa watoto wetu wapendwa..
06/01/2017
mlete Mwanao apate elimu..
Tunapokea Watotokuanzia miaka mitatu na kuendelea shule inatoa Huduma ya Hostel kwa atakaye hitaji
Mawasiliano:: 0719 143068
Karibuni sanaa ⛪
06/01/2017
Karibuni ndugu katika uupendao went kutoa Elimu kwa Kijana kuanzia miaka Miwili hata kwa walioshindikana kutoka katika mashule mbalimbali..... Hii ni Mbinga nursery and primary English medium school inayopatika gongo LA mboto mwisho WA rami.. Elimu bora MA malezi Bora kwa watoto.... Karibu Sana mlete mwanao apate elimu bora na sio bora Elimu...
Mawasiliano: 0719 14 30 68
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
London Street
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 07:15 - 18:30 |
| Saturday | 07:15 - 18:30 |