17/03/2022
Tafadhali chagua kituo bora cha mwanao kwa malezi bora, kuepusha adha k**a ya mwenzetu hapa. ZURA DAYCARE ndio chaguo lako
ZURA Nursery School is located in Kiwalani Kigilagila area in Dar es Salaam and serve with pre school and baby care services to the community
17/03/2022
Tafadhali chagua kituo bora cha mwanao kwa malezi bora, kuepusha adha k**a ya mwenzetu hapa. ZURA DAYCARE ndio chaguo lako
27/02/2022
Mazingira bora ya mtoto kujifunza na kuamsha vipaji. Karibu tusaidiane kuwajenga watoto weru kwa maisha yao ya baadae.
Tumeanza kupokea watoto kuanzia umri wa miaka miwili hadi mitano, Shule ina Mazingira mazuri na Walimu wazoefu
2020 umekuwa mwaka wa changamoto nyingi kutokana na ugonjwa wa COVID-19. Sekta nyingi zimeatjiriwa ikiwamo elimu ya awali. Jiandae kwa msimu mpya wa 2021 kwa kumuandalia mwanao mazingira mazuri ya elimu. Karibu ZURA Day Care Centre-Kiwalani
MSIMU WA MASOMO 2019/2020:
Msimu wa masomo kwa mwaka 2019/2020 unakaribia, ZURA DAY CARE CENTER inakaribisha maombi ya masomo na mzazi unakaribishwa kumleta mwanao ili apate malezi bora kwa ujenzi wa vipawa vyake
Msimu wa masomo 2018 unakaribia... mlete mwanao kupata malezi bora kumjengea msingi wa masomo yake.
23/01/2017
Watoto hujifunza wanapochezam lakini zaidi wakicheza hujifunza namna ya kusoma. ZURA inazo sifa zote
30/10/2016
What do you always target when you choose the school for your kid?
1. Best school facilities?
2. Best teaching staff team?
3. Availability of Sporting and resting space
4. Academic history of the school?
Choose any of above and think of how you will feel if you find one center which offer you all of the above.
MSIMU WA MASOMO 2017
Msimu wa masomo kwa mwaka 2017 unakaribia. Wazazi na walezi wote mnakaribishwa kuchukua fomu za usajili wa wanafunzi kwa mwaka 2017. Mlete mwanao shuleni ZURA ili apate msingi bora wa kitaaluma, maadili na michezo. Tunapokea watoto kuanzia umri wa miaka miwili na kuendelea.
Wasiliana nasi kwa namba +25564115737 / +255788465757
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 12:00 |