lishe_bora360

lishe_bora360

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from lishe_bora360, Education, Zanzibar.

04/03/2023

Kitunguu saumu ni kiungo ambacho tunakitumia sana mapishi yetu. Leo tunatoa faida chache tu ili tujue umuhimu wa kutumia kitunguu saumu:

25/02/2023

Ini linatusaidia katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuondoa sumu mwilini. Mafuta yanapoganda kwenye ini husababisha kuvimba (inflammation), kuharibika na kufanya alama/kovu (scar) na hatimaye kushindwa kufanya kazi. Tunatakiwa kubadilisha mtindo wa maisha ili kuwa na ini lenye afya na furaha.

25/02/2023

MAFUTA YA KULA YANAFAIDA NYINGI SANA MWILINI MWETU, MIONGONI MWAO NI HIZO HAPO JUU.
N.B: MAFUTA YA KULA YAHITAJIKA KWA KIWANGO KIDOGO SANA MWILI KWANI YAKIZIDI HUSABABISHA MARADHI YASIO YA KUAMBUKIZA.

25/02/2023

FAIDA ZA VITAMIN A

05/12/2021
05/12/2021

Want your school to be the top-listed School/college in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Zanzibar